Hotuba ya Mhe Moh Dewji: April 25, 2009

ubunge wa namna hii haufai kabisa. wananchi wanatakiwa wasidiwe katika kutatua matatizo yao ya kudumu na sio kuwajaza mapesa mifukoni mwao. hizo pesa anazozitoa kazitoa wapi? kama sio hizihizi za kwetu. pili ikiwa kila mbunge atafanya hivyo katika jimbo lake itajuwaje kwa wabunge ambao hawana fedha kama za huyu mweshimiwa. kununua tractor sio tija ndio maana wanachi hawalitumii hapa alikosa ushauri angepigania kutafuta masoko ya mazao ya jimbo lake wananchi wangenunua matractor yao baada ya kupata pesa nyingi. hii style ya mimi nimefanya hiki na kile ni usanii tu. tungemwelewa kama angefanya hayo alipojuwa sio mbunge, hapa anaonekana kama vile ubunge ni sehemu ya kuficha madhambi yao. mwana falasa PLATO aliwahi kusema viongozi wazuri hawapandi kuongoza na viongozi wabaya wanajipendekeza kupewa uongozi hapa tunaona kila dalili ya kujipendekeza tu kuongoza.
 
Huyu kijana anafanyabiashara na baba yake na kuusaka ubunge ilikuwa ni njia moja wapo ya kuwekeza!! Unapowekeza ,unatarajia kupata zaidi ya kile ulichowekeza na hivyo ndivyo ilivyotokea kwa huyu kijana; matumizi yake akiwa mbunge kwa yote aliyoainisha na asioainisha ni kidogo ukilinganisha na mapato aliyopata kwa kutumia influence ya ubunge pamoja na marupurupu ya ofisi hiyo! Mfanyabiashara yeyote hasa muhindi hawezi kutumia pesa yake mahala ambapo hanufaiki. Huyu kijana anawazuga hao wanyaturu kwa kuwahongahonga unga na khanga/fulana wakati wa uchaguzi halafu ukimalizika uchaguzi huyo anarudi maskani yake Oysterbay Dsm; sidhani kama hata ana makazi ya kudumu huko Singida zaidi ya maduka aliyopamga National Housing!!

...bora yeye kawajengea hata shule watoto wao watasoma na watakao bahatika na kuweka bidii watafika mbali na kuja kusaidia familia zao,na hata maji kawasaidia kina mama adhabu ya kutembea na ndoo kichwani umbali mrefu na hata waliokuwa na njaa aliwapa chakula kuokoa maisha yao,simjui Dewji lakini anayoyafanya anastahili pongezi,unakuja na allegations zako zisizo na kichwa wala miguu eti anawazuga wanyaturu,kawazuga nini? sema sio kutupa mafataki tuu na wabunge wangapi hawakai majimboni kwao ila umemuona yeye tuu? wewe piga mikelele yao wanyaturu watamchagua tena na wanampenda sana na practically anawasaidia sana,huyu mtu tajiri na wanyayaturu maskini atawaibia nini? siasa za midomo tumechoka na kutumia kadi za huyu muhindi ni soooo yesterday na hazina nafasi,anayefanya kazi na kusaidia wananchi wake atachaguliwa ila sio debe tupu na uzalendo wa kifara
 
ubunge wa namna hii haufai kabisa. wananchi wanatakiwa wasidiwe katika kutatua matatizo yao ya kudumu na sio kuwajaza mapesa mifukoni mwao. hizo pesa anazozitoa kazitoa wapi? kama sio hizihizi za kwetu. pili ikiwa kila mbunge atafanya hivyo katika jimbo lake itajuwaje kwa wabunge ambao hawana fedha kama za huyu mweshimiwa. kununua tractor sio tija ndio maana wanachi hawalitumii hapa alikosa ushauri angepigania kutafuta masoko ya mazao ya jimbo lake wananchi wangenunua matractor yao baada ya kupata pesa nyingi. hii style ya mimi nimefanya hiki na kile ni usanii tu. tungemwelewa kama angefanya hayo alipojuwa sio mbunge, hapa anaonekana kama vile ubunge ni sehemu ya kuficha madhambi yao. mwana falasa PLATO aliwahi kusema viongozi wazuri hawapandi kuongoza na viongozi wabaya wanajipendekeza kupewa uongozi hapa tunaona kila dalili ya kujipendekeza tu kuongoza.

...hivi hizo shule na misaada ya elimu kila kata huoni kama ni zaidi ya msaada wa kawaida,hiyo ni investment kubwa sana kwa hao wanyaturu na mungu sijui awape nini? kanunua tractor wewe unataka awatafutie masoko,kwani wengine wanafanya nini? mbona mnataka kufanyiwa kila kitu na hata shukrani hamna,kama kafanya hiki na kile na ni kweli sioni ubaya wowote akiongea wazi na hakuna usanii wowote lazima watu wajue,maana mafisadi kama nyie mnapenda ku distort records za watu na kuwaita wezi,nyie watu lazima mjifunze kuwa na shukrani mnaposaidiwa na sio kila kitu ni siasa,kama jamaa anaficha kitu hiyo ni topic nyingine na unaweza kuileta hapa(doubt kama una chochote zaidi ya majungu) ila its obvious aliyoyafanya kwa wanyaturu ni ya kumsifu sio kumtukana
 
Hivi kazi (wajibu) wa Mbunge ni kutoa misaada?
 
ANAWAPA SAMAKI HATAKI KUWAFUNDISHA KUVUA ili wamtegemee [wawe watumwa wake] maisha yao yote NA YEYE AENDELEE KUWA MBUNGE WAO !!
 
BTN huyu na ROSTAM inaonekana huyu kafanya mazito zaidi

Nothing wrong kuonyesha kuwa kafanya

Jiulizeni mbona Wabunge wengine hawasemi washafanya nini?
 
Nilikuwa napitia ripoti ya maendeleo ya jimbo la Singida nikaanza kujiuliza kuhusu COST BENEFIT ANALYSIS inakuwaje unapokuwa mbunge wa Tanzania...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?

Huyu jamaa toka awe mbunge ameshaspend pesa zake za mfukoni BILIONI 6 kwa ajili ya jimbo lake

sasa najiuliza je kuna mbunge kama huyu? Na kama kaweza kutumia zaidi ya Bilioni 6 kutoka mfukoni mwake, kwa nini hajawa waziri huyu?

Kwa sababu shule anayo

pesa anayo na hatotumia magari ya serikali

sidhani kama posho atakuwa anchukua

Je Rostam alikumia kias gani kwenye jimbo lake Igunga?

Je wana Singida mnaweza kutuazima sisi wana Rufiji huyo Mo Dewji walau kwa miezi 3 tuu kisha mumshukue
 
Kama kweli amemwaga bilioni 6 hilo jimbo lingekuwa tofauti sana na lilivyo sasa. Neema ingeonekana. Hapa naona kuna mtu anatafuta kazi ya uwaziri, hivyo anatumia propaganda kuwa ana pesa za kusaidia watu. Lakini akumbuke kama anataka kusaidia watu Mo haitaji kuwa na cheo chochote, anaweza kuwa kama mother Thereza na kufanya mambo yake ya kusaidia watu.

Ila nina swali moja, kama anatumia 6 bilioni anapata nini in return?
 
...halafu returns za pesa zako zinarudi vipi katika haya mazingira ya kumulikana na kutafutana uchawi kila kukicha?

Hili ndo swali kubwa tunalotakiwa kujiuliza watanzania wote manake wengi wanafurahia sana vya kupewa..huyu jamaa ni mfanyabiashara lazima apande panapostawi je amelenga wapi kumsaidia kurejesha hii 'misaada'..TAKUKURU na TISS hivi huwa mnajihangaisha kupata ukweli wa habari kama hizi na implication zake kwa uchumi na ustawi wa Taifa letu ikiwa mtu anatoa fedha nyingi kiasi hiki? Nini hasa lengo lake naamini sio Ubunge..
 
BTN huyu na ROSTAM inaonekana huyu kafanya mazito zaidi

Nothing wrong kuonyesha kuwa kafanya

Jiulizeni mbona Wabunge wengine hawasemi washafanya nini?

Kwa kawaida pia binadamu wengi hutoa pungufu ya wanavyopata, hata kanisani iwe zaka ama harambee zozote huwa binadamu anatoa sio zaidi ya alivyoingiza. So naamini huyu bwana alitoa katone tu kati ya alivyoingiza. Na asema basi kiasi alichoingiza katika biashara zake ambazo zimekuwa zikiendeshwa kwa upendeleo toka serikalini hasa kwa nafasi ya ubunge aliyonayo. Haya yote ni defensive mechanism na mwaka huu anatakiwa mtu amtoe kwenye nafasi ya kuwakilisha Singida yetu katika chama kitaifa.
 
hahahahahaaa.... Thread imeandikwa kipremature sana... Basi elezea hizo fedha zilipelekwa kwenye nini.. Huduma za jamii,au kulipia ada,ama kitu gani..
 
nina wasi kama zimetumika hizo bilioni labda kwenye mifuko ya watu au huenda wame exaggerate hizo takwimu, mie ni mpiga kura wake hivyo nafahamu mambo ya maendeleo aliyoahidi hata 15% haijazidi kwenye utekelezaji wake na miradi aliyotekeleza wala haizidi 1 bilioni na kwa bahati mbaya sana haijawasaidia lolote kiuchumi wana sgd badala yake hali ni mbaya sana. Embu mo asitafute sifa kwenye media badala yake afanye kazi sie wana sgd tutasema akifanya vyema ila yeye akae kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom