sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 133
- Thread starter
- #41
acha porojo iweke hapa tuisome,unasema tumuunge mkono kwa lipi?
natumia sim nimeshindwa kufanya atachment.. Mcheki google ipo..
acha porojo iweke hapa tuisome,unasema tumuunge mkono kwa lipi?
Tunategemea ujio mpya nguvu utendeji kazi mpya bajeti nzuri.. Nguvu mpya kasi mpyaa..! Tumuunge mkono watanzania
zomba kuna matengenezo ya muda maalum (periodic Maintenance), Matengenezo ya kawaida (routine and recurrent maintenance), Matengenezo ya sehemu korofi (spot improvement) na matengenezo ya dharura (emergency works). Nimekumbuka Civil Engineering hapo nadhani wale wa MEM wanajua hii habari.
Mpaka nione yakitendeka, kwa maneno haya ambayo tumezoea sina imani
Nyie watu wa ajabu, stori za magufuli hamjazichoka? Nendeni hapo kenya, 1997 raila alikuja kujifunza kujenga barabara hapa kwetu, 2012 kenya walishasahau kuhusu fly over nk, bado mnamsikiliza huyu kasuku? Mnafikiri mtu kukariri majina ya barabara na madaraja ni tija? Poleni sana!!!!