Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Hana lolote huyu kazi kuitia serikali hasara tuu
Mzee wa Takwimu.. sasa mbona wanataja hadi miradi ambayo imeshakamilika na mingine iliyopo kwenye mchakato?
Mradi wa barabara ukiisha kuna mambo kibao yanabidi yapatiwe bajeti wewe, usiwe punguani. Kuna kuboresha, kuna "maintenance" (neno ambalo Kiswahili chake hakuna), kuna ukarabati, kuna ufagizi. Upo hapo ulipo?
amempiga jungu mbowe kuwa wananchi wa chato hawadanganyiki
Mkuu kulikua na umuhimu wa wewe kutumia hayo maneno hapo kwenye red kunitukana? kama unaelewa zaidi yangu unaweza kunielekeza tu nkwa maneno ya kiungwana
Chato ndio miundo mbinu gani?
zomba kuna matengenezo ya muda maalum (periodic Maintenance), Matengenezo ya kawaida (routine and recurrent maintenance), Matengenezo ya sehemu korofi (spot improvement) na matengenezo ya dharura (emergency works). Nimekumbuka Civil Engineering hapo nadhani wale wa MEM wanajua hii habari.Mradi wa barabara ukiisha kuna mambo kibao yanabidi yapatiwe bajeti wewe, usiwe punguani. Kuna kuboresha, kuna "maintenance" (neno ambalo Kiswahili chake hakuna), kuna ukarabati, kuna ufagizi. Upo hapo ulipo?
Kwa serikali ya ccm sidhani kama ataweza kuyafanya yote haya. kwa Mfano, mwakajana alitaka kuondoa mabango yote yaliyokwenye hifadhi ya barabara, nadhani wote tunajua kilichompata hadi akataka kususa, nadhani walimtishia kuwa atam-Ulimboka. hadi leo hakuna hata bango lililoondoka.
Ngoja mjipongeze kwa hiyo habari ya kwenye makaratasi, lakini I dont see the budget to be implemented. I hope we all know that with the presence of Mr Dhaifu, this is another silly budget. Time will tell!
Tunategemea ujio mpya nguvu utendeji kazi mpya bajeti nzuri.. Nguvu mpya kasi mpyaa..! Tumuunge mkono watanzania