Hotuba ya Mhe. John Pombe Magufuli bungeni leo... Bajeti 2012/13

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
Tunategemea ujio mpya nguvu utendeji kazi mpya bajeti nzuri.. Nguvu mpya kasi mpyaa..! Tumuunge mkono watanzania
 
Kumuunga mkono katika lipi, nguvu mpya kasi mpya? Kwa bajeti hii hii ya kuchumia tumbo?

tumuunge mkono kutekeleza malengo ya bajeti yake katika kuendeleza miundo mbinu.. Kwa kutoharibu na kuheshim na kuhifadhi miundo mbinu na kuwa fichua watendeji kazi wabovu na makandarasi wajanja..
 
nguvu mpya na kasi mpya na ari mpya na maisha boura kwa kila mtanzania, kimsingi kupitia ilan ya chama chake .. Itamuwezesha kufikia anapopataka kwa maendeleo ya taifa letu kupitia miundo mbinu
 
magufuli ameanza@hoja za serikali wizara ya ujenzi.. Miradi ya daslam bil.900
 
barabara zilizo kasimiwa na serikali kutoka tanrod.. Zimetengewa bil.4.. Kimara kinyerez.. Un..road ..mandela.. Road
 
Makutano ya Tazara kujengwa Fly Over. Safi sana. Huo ndo mwanzo mzuri wa kupunguza foleni Dar.
 
Duh Dr. Magufuli anaunguruma! leo amekuja na strategy ya kutaja miradi ya barabara mkoa kwa mkoa. Huyu Waziri kwa kweli anajua jinsi ya kujipanga; nchi nzima ina miradi ya barabara hakuna uliosahaulika.

Msikilizeni hapa

TuneIn Web Tuner
 
miradi inayoendelea.. Morogoro lindi.. 149.. Mbeya iringa 422.. bilion
 
Magufuli safi sana.. Anasema wameshusha gharama za ujenzi kutoka 1bil.. Kwa 1km, mpaka 600milion.. Kwa 1km.. Mfano barabara ya
 
madeni yamelipwa na yamepungua na wanalipa kwa kuzingatia vyeti vya kandarasi.. Wasio na vyeti vizuri na watendaji wabovu hawatolipwa.. Na ametoa wito kwa makandarasi kuwa makini mno
 
makadilio ya bajeti imetengewa bilion 900 kwa mirad ya maendeleo na bilion 300 kwa matumizi ya kawaida 2012/13
 
Ritz zomba sikilizeni nchi ilivyotapakaa barabara. Dr. John Pombe Magufuli anawasilisha hotuba ya wizara yake Bungeni anataja barabara mkoa kwa mkoa kila mkoa una mradi wa barabara.
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Takwimu.. sasa mbona wanataja hadi miradi ambayo imeshakamilika na mingine iliyopo kwenye mchakato?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom