HOTUBA YA MFUNGWA: Wanasiasa na wadau wote wapenda haki na maendeleo!

erneus kyambo

Member
Mar 24, 2011
40
4
Hii ni hotuba ya iliyoandikwa na mfungwa mswahili, ni hotuba inayosisimua sana, hotuba hii inaeleza uhalisia wa maisha ya gerezani, inaelezea ombwe la uongozi lililopo katika nchi yetu, imeenda mbali zaidi kuonyesha gap lililopo kati ya watawala na watawaliwa pia mfungwa huyu amejitahidi kuongelea umuhimu wa katiba mpya na anamalizia kwa kutuasa vijana tusikate tamaa kwani Tanzania mpya ipo kama sio kwetu basi itakuwa kwa watoto wetu,na ametoa onyo kwa watoto wa mafisadi yatakayo wakuta huko mbeleni kwani kipindi hicho watoto watu hawatakuwa na subira na uvumilivu tulio nao sisi.
 
Back
Top Bottom