Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

HONGERA sana kamanda Nasari!Huu ni mwendelezo tuu,sio mwanzo!tutateka kaya kwa kaya,kijiji kwa kijiji,kata kwa kata,jimbo kwa jimbo na matimaye,my beloved TANZANIA!
 
Hongera uongozi mzima wa Cdm taifa,mh.mbunge mteule Nasari na Wameru wote. Km chama nadhani huu ni wakati wa kuendeleza mapambano kuelekea 2014 wakati wa chaguzi za serikali za mitaa,hakisheni mnafungua matawi kila kona ya nchi hii ili ifikapo 2014 tupate wenyeviti wa mitaa wa kutosha ambao kwa wingi wao watatusaidia sn kuhamasisha wapiga kura ikiwa pamoja na kujenga mtandao imara utakaolinda vyema kura zetu za ngazi ya Madiwani,Wabunge na Rais. Hongera sn makamanda kwa kazi mnayowafanyia waTz wote hasa wanyonge....!
 
Haki imetendeka na haki daima hutawala. Unaweza kuichelewesha lakini ikifika husawazisha milima na mabonde. CCM watch out for the end is very very near!
 
1. tumeanza na mungu tumemaliza na mungu

2. natoa shukrani jeshi la polisi wametoa fair ground kwa kipindi chote.

3. natoa ujumbe kwa kamishna wa polici....na ...na ....na ocd kuwa sasa yeye ni mwenzao katikautendaji, wawaachie huru wale vijana waliowakamata jana usiku wakisherehekea ushindi kwani waje huku nje washerehekee wote...ikishindikana basi na mimi apelekwe huko ndani ili akasherekee pamoja nao....

4. maeneo yake ya lipaumbele ni manne....ardhi, maji, miundombinu na elimu......

5. kwamba kuanzia kesho ataaanza kufuatilia ahadi ya mzee ndesamburo katika kijiji**** ili visima viwili vichimbwe mara moja...

6. anawakumbuka sana wakina mama hasa wa sokoni wanaofanya kazi katika mazingira magumu....anaanzisha mfuko wa mbunge kwa ajili ya kina mama wajane na watoto

7. mimki sasa ni mbunge nitawatumikia wananchi bila kujali itikadi ya yeyote

8.kwa sasa twendeni tukalale kwa maana hatujalala kwa siku nne....tulale masaa mawili halafu tuendelee na kusherehekea ushindi!
 
kila ninapopita asubuhi hii hapa ukerewe story ni CDM ilemela CDM Arumeru,natamani siku zikimbie tufike 2015,tumalize mzizi wa fitina
 
ccm lazma isome alama za nyakat watu wameichoka, hapo wamejidhalilisha kutokana na nguvu waliyotumia
 
Ni wazi kuwa matokeo haya yamemfurahisha kila mtu binafsi naamini hata wana ccm wenyewe watakuwa wamefurahi japo furaha yao inakua nndani kwa ndani kwani walikuwa wanajua kuwa ahadi zilizokuwa zikitolewa na viongoziwao si zakweli ni za kumdanyia mtoto peremende ili anyamaze kulia.

ivyo nami nichukue nafasi hii kuwapongeza wanaarumeru wote kwa uamuzi huu wao wa maana sana kumchagua kiongozi bora na si bora kiongoizi huu ni uamuzi ambao hawataujutia bali watafurahia kilicho baki sasa ni kumunga mkono na kushikamana naye ili kuweza kwa pamoja kutatua kero zilizopo kwa nguvu ya pamoja yani nguvu ya umma.
​
 
Hadi mgombea wa TLP ABRAHAMU CHIPAKA amesema mvua imenyesha maana haki imefanyika JOSHUA NASSARI KUSHINDA.
 
Viva 4rever, tumeanza na udiwani kirumba, tukachukua na jimbo la arumeru, keshokutwa tunachukua nchi. magamba mjiandae kwenda kunyea debe kwa maovu na ufisadi wote mlofanya.......
 
Viva CHADEMA, Asanteni wana-Arumeru, Hakika mmetoa Sadaka thabiti katika ukombozi wa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom