Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

Some trust in their Money,some trust in their army and power, but we will trust the power of the Lord our GOD.

Some trust in chariots and some in horses, but we trust in the name of the LORD our God.(psalms/20-7)
CCM ni kama Farao Misri.Mungu amechoka na mateso ya Watu wake na tazama yu karibu kuja kutuokoa.na iwapo ntaendelea kungangania kutawala moto na laana za Mungu wetu zinawala kama vile nzige walavyo mazao shambani.
Daima Mungu atawatetea watu wake japo uwa anakawia
To all Tanzania who has suffered CCM dhulumati here is a message from our living and loving God:When you go to war against your enemies and see horses and chariots and an army greater than yours, do not be afraid of them, because the LORD your God, who brought you up out of Egypt, will be with you.
 
Hongera Nasary, Wasamehe walio kukosea 7x70. Songa mbele na uombe CDM ikusaidie kutatua yale matatizo ya haraka. eg Maji( chimbeni visima kampuni zipo zinasubiri tender tuu),. Tatizo la ardhi fuatilia lile jalada ambalo Medeye alisema analifanyia kazi(kama alidanganya utujulishe mapema ili tujipange) THANX GOD!!!!!!!!!!!!!
 
i just can't believe this!!sometimes this world is so fair,conglats josh
 
Hii haijawahi kutokea. Moto wa Chadema ukiendelea hivi basi nchi ya Tanzania inakwenda kujikomboa na janga la rushwa lililokithiri kila idara. Huwezi kupata matibabu bila rushwa, huwezi kupata passport bila rushwa. Je tutafika? CDM tukomboeni
 
Hongera CDM hongera wanaharakati wote nje na ndani ya Tz, hakika ushindi huu umedhihirisha kuwa pamoja na ghiliba zote za CCM dhidi ya CDM bado hazikuwa ufumbuzi..Tulianza na Mungu na hatimae tumemaliza Mungu. Mungu ibariki CDM lakini pia wabariki na maadui zake.
 
Licha ya kuwapongeza polisi kwa ukomavu amemwambia Issaya Mngulu kuwa akiongea kama MB anaomba vijana waliokamatwa jana wakati wakishangilia matokeo ya awali waachiwe mara moja wajumuike na wenzao kusherehekea victory
 
Matokeo haya ya majimbo madogo yanaweza kutusaidia kubashiri kitakachotokea 2015.

Naamimi wakati huo Dr. Slaa atakuwa amnemaliza kutoa elimu kwa wantanzania waishio nje ya miji mikubwa kama Arusha na Mbeya.

Kaa mkao wa kupiga kura na sio mkao wa kula.
 
what an inspiration to the young generation in Tanzania? GLORY TO GOD, viva cdm, viva Josh
 
Wapi ritz, rejao and co waliosema kuwa chadema leo wangelalamika wameibiwa kura!
Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Nendeni mahakamani kupinga matokeo na ushauri wa bure mumfukuze lusinde!
Leo jamvi tamu sana!
 
Chadema juu, Nasari oyeeee! Kumbuka daima kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu. Yote yanawezekana kwake aaminie na kama hamtasadiki basi hamtathibitika.
.
 
Hata hivyo najua yule sharobaro ameshukuru kushindwa maana hakufanania na alichokuwa analazimishwa kugombea
 
Back
Top Bottom