Hotuba ya Kikwete kwa wakuu wa nchi A.U

Mods naomba msaada wenu ili tuweze kupata full text hapa jamvini.
 
Nadhani hii itakua excuse ya kuhutubia taifa mwisho wa mwezi huu.
 
Eti anawaambia wenzake waheshimu matokeo, ila ana akili maana tume si ndo dili. Angesema kuwe na tume huru. Hapo Mugabe, Mwai, Mu7 watakuwa walichekeleeeea sana.
 
Eti anawaambia wenzake waheshimu matokeo, ila ana akili maana tume si ndo dili. Angesema kuwe na tume huru. Hapo Mugabe, Mwai, Mu7 watakuwa walichekeleeeea sana.

usanii mtupu!nina wasiwasi na hawa wakuu wa AU.Wanashindwa kunyoosheana vidole.
 
Back
Top Bottom