Hotuba ya JK -vs- Dk Slaa

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
52
Hotuba JK inatetea watu fulani wanaohusishwa na ufisadi inanishanga hata mkuu nataka mjadala wa dowans ufunge huku Idrisa kauli yake ilikuwa ni kuwatisha wananchi kwamba asilaumiwe tukiingia gizani na mkuu natetea hakuna hatua aliyochukuliwa huku wanasiasa waliikeme kauli hiyo

Kutoka kwa Dk Slaa
"Tuna mashaka naye Kikwete kwa kauli yake ya kumtetea Dk Idris ambaye pia sisi tuna mashaka naye kuwa alihusika katika sakata la ununuzi wa rada,"

"Kikwete hawezi kueleweka kwa kumtetea mtu aliyedaiwa kuhusika na kampuni ya nchini Uingereza, akidai inatuhumiwa kupokea fedha kupitia akaunti inayodaiwa kuwa ya mwanasheria wa zamani."

Tunahitaji watu kama DR Slaa

Wana jamii kama kuna za ndani zaidi tupatieni
 
mashaka na JK yalianza tangu alipomchagua Lowassa kama PM. Kwa wenye akili tulijua kabisa nyumba inaungua
 
Jamani hivii JK uwezo wake na mbinu zake kiuongozii zinahitajika utafiti gani kumgunduaaa...Jamaa ni mweupe, mbabaishaji, msaniii na zaidi ya yote mwenye usanii ulopitiliza kwenye maamuzii..

hotuba yake ya mwezi kuna mnafiki yeyote (wale wabunge wa CCM wanaojidai wapinzani wa ndani kupata media coverage) aliyejaribu kuichambua hadharaniii???

dk slaa always amekuwa makini na uchambuzi wake ni halisia.
 
JK hapendi kuwa mkweli. Ana lake jambo analoficha.

Dr. Slaa tusaidie kuyaweka wazi ili umma uelewe.

JK keep out!
Bravo!Dr. Slaa keep it up.
_______________________________
Wars are caused by undefended wealth.
- Ernest Hemingway
 
Ukipata watu 50 kama Dr Slaa,MKJJ,Tundu Lisu,Invissible,.....hakika mapinduzi makubwa sana ya kifikra...yatakuja kwenye jamii yetu.
 
Kama alivyosema Dr Slaa kuwa nayeye JK anawe kuwa nahusikisa kwenye sakata lolote ndoa maana anataka kutetea mafisadi

Dr Slaa tuhijaki utuvumbulie Mambo yake huyo bwana mkuwa au kariia na uchagu tusuwe tuendeshwa kama vipofu kula atakaye ingia nakkuja na ulaji wake Lini wataacha

Hongera Dr Slaa
 
Kama alivyosema Dr Slaa kuwa nayeye JK anawe kuwa nahusikisa kwenye sakata lolote ndoa maana anataka kutetea mafisadi

Dr Slaa tunahitaji utuvumbulie Mambo yake huyo bwana mkubwa au karibia na uchagu tusiwe tunaendeshwa kama vipofu kila atakaye ingia anakuja na ulaji wake Lini wataacha

Hongera Dr Slaa


Kama hivyo
 
Tungeweza sema tumsamehe JK kwani hajui alitendalo. Lakini si kweli kuwa hajui alitendalo, pamoja na uvivu wa kufikiri, he is part of the game so he knows the consequence of arresting his fellows
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom