Hotuba ya JK Mwanzo wa Mwezi Vipi?

Hatimaye hotuba iliyireodiwa jana, ndiyo imerushwa leo!. Rais JK akitaja jana nyingi wakati hizo anazotaja jana in actual fact ni juzi!.

Rais pia kaingizwa mkenge eti walio lipua makanisa ni kikundi cha Uamsho!, Waliolipua wanajulikana, tusubirie kama rais atameza mata...shi yake baada ya ukweli kujulikana.
 
Pasco,
Teh teh teh...Mzee,Hivi unadhani kati ya sisi na Mr Presdaa nani anaweza kuwa yuko kwenye position ya kuwa "well informed" na sakata la Zanzibar?...
Je unadhani ni kweli yule Kiongozi wa UAMSHO ni wa kuaminiwa anapotaka kutuaminisha kwamba wao UAMSHO as na Organization hawahusiki na kuchoma makanisa bali ni "watu" wengine?

Kuna Mambo mengi ambayo wao kama Uamsho na Mihadhara yao ndio "inayowajaza" upepo wa mafundisho na hasira zinazowafanya hao "watu" walete vurugu hizo.
Na tunaambiwa kwamba toka kitambo hao jamaa wa Uamsho wanajulikana mienendo yao,lakini kwa sababu Serikali yetu sio Serikali ya Kidikteta ama sio family ya mtu kwamba ajiamulie Uamzi wa ghadhabu,ni lazima usubiri mpaka "mleta fujo" aonyeshe beyond doubts kwamba "nia yake" ni fujo.....Just imagine hata baada ya hizi fujo,yule Kiongozi anataka tuamini wao hawahusiki....Sasa jiulize how was it difficult hapo mwanzo kuanza kuwa scrutinise,tena kwenye ncho yenye Misingi ya demokrasia kama hii?....Nadhani kwamba sasa hivi ni rahisi,kwani wale Vijana watalambwa "mateso" humo ndani walimo na watasema yote,nani aliyewatuma ama aliyewafundisha.......asilimia 98 am sure utakuta ni Viongozi wa uamsho ndio waliwajaza hizo "philosophy"...na ndio maana Presdaa hawezi kuchengesha na kujifanya hajui kama sisi,alichofanya ni ku hit moja kwa moja ili Uamsho wajue kwamba wao ndio wanabeba zigo hilo la lawama
 
Hatimaye hotuba iliyireodiwa jana, ndiyo imerushwa leo!. Rais JK akitaja jana nyingi wakati hizo anazotaja jana in actual fact ni juzi!.

Rais pia kaingizwa mkenge eti walio lipua makanisa ni kikundi cha Uamsho!, Waliolipua wanajulikana, tusubirie kama rais atameza mata...shi yake baada ya ukweli kujulikana.

Labda inawezakuwa kweli.....lakini hebu zingatieni huu mfano...

Wewe Mwanahamisi unakuwa na ugomvi najirani yako Hanuni then watu wanakusikia unamwambia "we si unajifanya mjanja? unanitambua.....we ngoja tuuu"
Baadaye kidogo mtoto wa jirani yako Hanuni anaumwa na nyoka wakati anacheza, anakimbia kurudi kwa mama lakini umauti unamfika njiani! Maskini mtoto huyu!

Hivi mnavyoudhani ni wangapi watatafuta chanzo wakati chanzo rahisi kilijitangaza kabla? Napenda niwahakikishie kuwa hata kama wanaochoma makanisa na bar siyo wao hao, ni vipi watajitenga wakati yametokea wakati wao wanaendelea na harakati?
Siyo vizuri pia kuwakataza kudai Zanzibari yao kama ambavyo hata watanganyika wakidai Tanganyika mie sina neno! Lakini ni vizuri ikakumbukwa kuwa kuna njia nyingine nzuri zaidi ya machafuko ambazo zingetufikisha huko pia! Kwa nini tumechagua zile Mbaya tu? Kwa nini siyo hoja ni fujo? Huu siyo utamaduni wetu jamani!
 
Back
Top Bottom