Hotuba ya JK Mwanzo wa Mwezi Vipi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,442
113,451
Wanabodi,
JF ni zaidi ya chombo cha habari. Ni kawaida kwa zile hotuba za JK mwisho wa mwezi kushushwa humu!. Kwa mwisho wa mwezi uliopita jana tulitangaziwa hakutakuwepo hotuba ya mwisho wa mwezi kufuatia JK kuhusika mkutano wa AFDB na badala yake hotuba hiyo ingetolewa leo mwanzo wa mwezi!. Mbona mpaka saa hizi JF kimya kuhusu hotuba hiyo?!.

Jee hotuba hiyo leo ilikuwepo?!.

JK amezungumzia nini?.
 
ni kma haikuwepo maana baada ya news TBC na ITV wameendelea na vipindi vyao vya kawaida!

Wanabodi,
JF ni zaidi ya chombo cha habari. Ni kawaida kwa zile hotuba za JK
mwisho wa mwezi kushushwa humu!. Kwa mwisho wa mwezi uliopita jana
tulitangaziwa hakutakuwepo hotuba ya mwisho wa mwezi kufuatia JK
kuhusika mkutano wa AFDB na badala yake hotuba hiyo ingetolewa leo
mwanzo wa mwezi!. Mbona mpaka saa hizi JF kimya kuhusu hotuba hiyo?!.
Jee hotuba hiyo leo ilikuwepo?!. JK amezungumzia nini?.
 
ni kma haikuwepo maana baada ya news TBC na ITV wameendelea na vipindi vyao vya kawaida!
Jana TBC-1 walitangaza ingetolewa leo!. Mimi Ijumaa ndio siku yangu ya viwanja ila nashangaa mpaka sasa haijashushwa humu jf!.
 
Hotuba zenyewe zina manufaa gani toka aanze kuzitoa, it is a waste of people's time and resources.
 
Wanabodi,
JF ni zaidi ya chombo cha habari. Ni kawaida kwa zile hotuba za JK mwisho wa mwezi kushushwa humu!. Kwa mwisho wa mwezi uliopita jana tulitangaziwa hakutakuwepo hotuba ya mwisho wa mwezi kufuatia JK kuhusika mkutano wa AFDB na badala yake hotuba hiyo ingetolewa leo mwanzo wa mwezi!. Mbona mpaka saa hizi JF kimya kuhusu hotuba hiyo?!. Jee hotuba hiyo leo ilikuwepo?!. JK amezungumzia nini?.


hivi bado unamfatilia mzee wa vibuti? Halafu tabu yake pamoja na kutumia memo bado hana majibu sahihi
 
Mkuu Pasco,kwani hutuba ya mwisho ilikuwa mwezi gani? hazina tija wala mvuto tangia hapo nchi imemshida atatuambia nini hadi tumwelewe?watu wanaiba mabilion wanafukuzwa tu kazi yuko wapi jairo?au wanaambiwa wajifanye wamekufa kama balali
 
wama JF mm cjawahi kuona danadana kama hizi za Hotuba za presda, tunamjua anavyosubili upepo unavyovuma,
 
Back
Top Bottom