Hotuba ya Dr. Slaa Bungeni Juni 2009

Eti makusanyo ya kodi kukweya, kukopesheka, jengo la bunge, uwanja wa taifa, mem, mmes ndiyo mafanikio makubwa ya Mkapa
 
Ohooo kumbe report ya mwakiembe ilikuwa ni kielelezo eti kuwa wabunge wa ssisem ni wapiga vita vya ufisadi
 
Anataka Waziri ayasome mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne ikiwa ni pamoja na kusema jinsi CCM inavyochukua hatua ya kupambana na ufisadi.

Anasema CCM hawawezi kwenda Mwembe Yanga kwakuwa wao ni watawala.
 
kuhusu jinsi kuhusu JK, bunge maana wapinzani kimsingi hapa anasema wamezidiwa kwa hio aonyeshe na kuhusu mkakati maalumu kupambana na rushwa
 
Kuna maneno mengi ya kiswahili kipya lakini namuelewa. anasema kasma kwa kasma pesa ni kidogio lakini ukimjulisha pesa ni nyingo]i kwa ujumla. mfano je friji, furniture ni kila mwaka?
You need the holy Spirit
 
vingine anazungumza simuelewi ila kumbe mtu ukiguswa ni ishu? mh, yeye mwenyewe anasema ni ishu kubwa na hakuna dhambi kubwa kama hii
 
Anataka hatua kali zichukuliwe, mama amecharuka, amekereka, ameudhika! Anasema vurugu za Rwanda na Kenya yote ni magazeti uchwara..... tutajuta. kwa jinsi alivyokasirika serikali ichukue hatua nzito.

Nchi hii ina utawala na kama ni mafisadi kwa nini wasisemwe? anakuwa wazi kabisa kuwa waziri mkuu atoe hatua hii wakati wa kufunga mjadala.
 
Amejibiwa kama kawaida kuwa haya ni mambo ya kijeshi na kiusalama hayawezi kujadiliwa bungeni.
Mimi namshauri kama ile ya EPA, Richmond na ile ya mgodi wa kahama airudishe hoja kwa wananchi na wao ndio watajua nani wa kuwajibishwa. Hiyo ndio dawa pekee.
 
Back
Top Bottom