Hotuba ya Dr. Slaa Bungeni Juni 2009

anazungumzia khs kagoda, anaielezea hapa. nafikiri kila ki2 kipo humu jamvini.
 
kimsingi mambo mengi hazungumzi maana pages nyingi anaruka eti spika kamwambia, ila anataka deep green tangdold nae waziri mkuu awe mkali kama deci.
Lakini Dr. Slaa nimemkubali, kagusa kila sehemu japo kwa muda mchache.

Deep Green,
Radar,
CIS,
Kagoda etc

Ni vema na inatia moyo. Natamani kuona Waziri mkuu akijibu
 
kwani uwongo?

huyu alikuwa mchungaji kisha kavuliwa kwa sababu za uzinifu

si siri hiyo

Unajua unapo amua kuwa kikaragosi wa mapapa, utu wako unauvua na kuuacha pembeni!

How it comes, inaongelewa hotuba wewe unaleta vioja vya personal life? Nani si mzinifu na awe wa kwanza kumrushia jiwe!

Bravo Dr. Slaa mkome nyani na wafundishe kazi hao make wamesahau wajibu wao wamebaki kuwa wachumia matumbo tu!
 
wanataka plot iliotumika isemewe, anazungumzia khs rada. anaserma khs kifua mbele maana walisema na leo serikali imekubali. na inaaibisha serikali maana hata ukwanajua. anataka kujua nini hatua iliopigwa kwa kama kweli tumesikia?
 
Unajua unapo amua kuwa kikaragosi wa mapapa, utu wako unauvua na kuuacha pembeni!

How it comes, inaongelewa hotuba wewe unaleta vioja vya personal life? Nani si mzinifu na awe wa kwanza kumrushia jiwe!

Bravo Dr. Slaa mkome nyani na wafundishe kazi hao make wamesahau wajibu wao wamebaki kuwa wachumia matumbo tu!

haya basi duh!

yashakuwa hayo?
 
Commodity Import Support - makampuni hewa 35? naesikiliza nae afafanue plz
 
hali ya siasa: anazungumzia hali iliyotokea kijiji kimoja huko kiteto khs kusimamishwa kwa serikali ya kijiji. lakini mkuu wa mkoa akaja kurudisha serikali. anazungumzia tena kijiji cha dareda na anataja na majina. mtu wa alituhumiwa mkuu wa mkoa akamfukuza kazi kwa mdomo. slaa akamsaidia kwli mwangunga akakiri wakamsaidia. kuna utawala wa sheria? muda wake unaishia
 
watu kununua shahada na pia hakuna sheria iliochukuliwa na ushahidi upo na spika akitaka atapewa
 
anaulizia mjadala wa kitaifa kuhusu 50-50. sikumbuki hili ni lini maana JK alisema bungeni
 
We kama huna la kuongea si unyamaze... toa hoja yako kuhusiana na hotuba ya slaa..sio kutuambia mambo ya uchungaji wake na uzinifu.. hayo ni maisha yake binafsi wala hayatuhusu.. tuongelee hotuba yake..
 
dr slaa tunamuaminia..siku zote aongoza mashambulizi kukemea mafisadi na ulaji wao wa mali za umma...halafu tunaomba sana tbc wasiwe wanakatisha katisha hotuba ya slaa kama walivyofanya mwaka jana..tbc ni chombo cha umma maana kodi tunazolipa pia zinatoa ruzuku pale..kwahiyo tusingependa kuona wakipendelea ccm..
 
Balaa,

Mudhihir kachokoza kwa kuwagusa mawaziri na kuwatupia lawama!

Duh, anaambiwa aseme Waziri gani anayemlenga moja kwa moja. Yani waziri anayejipendelea ili ijulikane.

Spika anatetea kuwa wasitajwe moja kwa moja ndio ustaarab wa kuendesha mambo itabidi wawasiliane na Waziri mkuu ili kuweza kuwataja mawaziri hao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom