Hotuba ya chadema ya kila mwezi

njiwamanga

Member
Oct 21, 2010
35
3
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?
 
Hoyuba ni lugha gani ? CDM si chama cha kuiga kila kitu kutoka kwenye Chama Cha Magamba!
 
Wazo zuri ila kiswahili chako hakiko sawa ni HOTUBA sio HOYUBA,kuwa makini unapoandika hapa watu humu ni makini sana usichukulie mambo juu juu.
 
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?

Mawazo mazuri kidogo ila chadema waje na kitu kipya zaidi
 
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?

Mkuu, nimekuwa nafikiria hili kwa muda mrefu. Na ili kuwa na impact zaidi Chadema wanaweza kufanya hivi: Immidiately baada ya hotuba ya chama Tawala, wao wanatakiwa watoe yao ambayo kimsingi ni alternative views kuhusu mambo ambayo atakuwa ameongea mtoa hotuba wa CCM. Tukumbuke CHADEMA kazi yao ni kushawishi wananchi kuwa wao ni better kuliko ccm. Kwa hiyo kila hoja ya ccm wanatakiwa wajibu within 24hrs. Mfano kama hotuba ya ccm itakuwa Ijumaa basi Jumamosi isipite bila Chadema kutoa hotuba inayoonesha kwamba wao (chadema) watafanya vizuri zaidi ya ccm kwenye mambo yaliyoongelewa.

Nchi za wenzatu hasa Marekani wamekuwa wanafanya hivyo na impact yake ni kwamba inaupunguza kama si kuzima kabisa propaganda, na hata matukio ya Raisi kupewa takwimu zenye mgogoro zitapunguwa maana washauri wake watajua kuna kuumbuka kesho yake. Believe me hii itawapa kichaa CCM.
 
Chadema sio chama cha kukiiga chama cha magamba japo ushauri wako sio mbaya sn
 
Mkuu nakuunga mkono asilimia 100. Chadema wawe wanatoa hotuba kila baada ya hutuba ya mheshimiwa, hotuba hii iwe kama vile inafanya uchambuzi wa hutuba ya raisi ili kuwaelimisha mwananchi vizuri zaidi hasa pale porojo zinapokua zimetawala zaidi. Pia wawakumbushe wananchi ahadi za jeykey (mara kwa mara) wakati wa kampeni ili ikifika 2015 wananich waweze kuwa na kumbukumbu safi kama kweli serikali yao imewatumikia kama ilivyo ahidi au la.

Namna hii sio kuiga bali elimu kwa watu inakua imefika sawasawa.
 
yah, ni idea nzuri sana mzee, hope C.D.M wameuona na wataufanyia kazi mapema
 
chama makini kilipojenga udom mlisema sera yetu nyie mnakamati kuu mabaraza wenyevt wa wilaya na mikoa wa cdm na sasa mwatakakuiga hotuba ya kila mwezi igeni tu coz ccm walimu wa siasa tz
siyo siasa tu, bali na ufisadi pia!
 
Mkuu, nimekuwa nafikiria hili kwa muda mrefu. Na ili kuwa na impact zaidi Chadema wanaweza kufanya hivi: Immidiately baada ya hotuba ya chama Tawala, wao wanatakiwa watoe yao ambayo kimsingi ni alternative views kuhusu mambo ambayo atakuwa ameongea mtoa hotuba wa CCM. Tukumbuke CHADEMA kazi yao ni kushawishi wananchi kuwa wao ni better kuliko ccm. Kwa hiyo kila hoja ya ccm wanatakiwa wajibu within 24hrs. Mfano kama hotuba ya ccm itakuwa Ijumaa basi Jumamosi isipite bila Chadema kutoa hotuba inayoonesha kwamba wao (chadema) watafanya vizuri zaidi ya ccm kwenye mambo yaliyoongelewa.

Nchi za wenzatu hasa Marekani wamekuwa wanafanya hivyo na impact yake ni kwamba inaupunguza kama si kuzima kabisa propaganda, na hata matukio ya Raisi kupewa takwimu zenye mgogoro zitapunguwa maana washauri wake watajua kuna kuumbuka kesho yake. Believe me hii itawapa kichaa CCM.

mi nafikiri cdm watoe yakwao kabla ya ccm...hapo watakuwa hawadandii vya watu ila wanatengeneza vyao halisi. upinzani si kukosoa tu chama tawala bali na kuelekeza chama tawala.
 
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?

"Naunga mkono wazo hili na wakati wa Hotuba ya mwezi ya CDM iwe ni pamoja na kujibu au kufafanua baadhi ya mambo ambayo chama tawala imewaeleza wananchi. Baada ya hapo hotuba ya CDM ikaendelea kueleza mikakati na mambo ya msingi au muhimu kuhusu CDM na mstakabali wa taifa hili. Lakini kwangu mimi naona kikwazo kikubwa kitakuwa ni chombo gani cha habari kitakachokubali kutangaza hotuba hiyo?"
 
Hoyuba ni lugha gani ? CDM si chama cha kuiga kila kitu kutoka kwenye Chama Cha Magamba!

mkuu ukitaka kumkosoa mtu inabidi umQuote ili ubaki ushaidi. Mfano,apo jamaa kashakosoa ila sasa wewe ndo unaonekana umekosea. Kwa upande mwingine nashukuru wazo lake ila chama chenye magamba hawana hotuba ya kila mwezi,huwa wanakuwa nayo wanapojisikia,si unajua nchi yao hii. Kwa iyo cdm wakija na ujumbe wa kila mwezi watafanikiwa sana,tatizo ni media ipi itakubali itumike? Hapa mtihani utakuwa na majibu ambayo pia ni mtihani.
 
vyovyote vile itakavyokuwa tunaweza kuwa hata na kipindi cha ELIMU KWA UMMA KUTOKA CHADEMA ambacho kitakuwa kinarushwa kila baada ya muda fulani siyo lazima monthly.
 
Back
Top Bottom