Hotuba Maarufu Za Kisiasa

Miongoni mwa hotuba kali niliyoisoma "Nyaraka za Taifa" ni ya Mheshimiwa Kiongozi Kinjekitile Ngwao, wakati anawajenga jamaa kupigana Vita vya Maji Maji. Ni hotuba fupi, iliyokuwa na hamasa, ushawishi, ujasiri na muelekeo.

If you are going to pull our legs, please do it right.Firstly the name is Kinjekitile Ngwale, not Ngwao.

Secondly there is no such written record of his speech, unless it is fabricated.
 
Kahinda,

..ijulikane basi ni hotuba ni zipi Mwalimu aliandika mwenyewe na zipi aliandaliwa na wasaidizi wake. pia ijulikane wasaidizi hao ni kina nani.

..kwanini masuala kama haya yanakuwa ni siri? kuna ubaya au aibu gani kuwatunza watu kama hao hadharani?

..ninachopigania mimi ni historia yetu na michango ya wananchi mbalimbali kuwekwa wazi.

jokaKuu,
Nadhani hotuba nyingi ambazo Mwalimu alizitoa UN zilichangiwa sana na Wizara ya mambo ya nje. Nakumbuka mwaka 1977 alipokuja state visit hapa US maafisa wa ubalozi wetu UN walimletea data ambazo aliziingiza katika hotuba alizotoa Washington na San Francisco. Lakini most of the writing alifanya mwenyewe.
 
Nimekwelewa mkuu mheshimiwa Balozi Daraja nadhani ni miongoni mwa waandishi wa hotuba za mwl.Nyerere kwa kuanzia.
 
jokaKuu,
Nadhani hotuba nyingi ambazo Mwalimu alizitoa UN zilichangiwa sana na Wizara ya mambo ya nje. Nakumbuka mwaka 1977 alipokuja state visit hapa US maafisa wa ubalozi wetu UN walimletea data ambazo aliziingiza katika hotuba alizotoa Washington na San Francisco. Lakini most of the writing alifanya mwenyewe.

Napata hisia kwamba mwalimu aliandika hotuba zake mwenyewe. Maana ukizisoma, unakuta kuna muelekeo kati ya lugha yake, uchaguzi wa maneno, na hata tabia yake ya maongezi.

Ila ambacho sijui ni kama alidraft hizo barua from scratch! Ama alikuwa anapewa mapendekezo ya nini iwe aganda katika maongezi yake, na baaday kushirikisha wataalamu kumpa data!

It will be interesting to know his writing style! weather it was collective or individualistic! and what does it mean
 
Unfortunately staffers wengi waliofanya kazi na Mwalimu hawajapata msukumo wa kuandika memoirs, akiwemo Mkapa na Butiku.
 
kwahiyo unaweza sema Butiku na Mkapa waliandika hotuba za mwalimu? walichangia nini?
 
kwahiyo unaweza sema Butiku na Mkapa waliandika hotuba za mwalimu?
Hapana,
Nilikuwa namjibu jokaKuu kuhusu process aliyopitia Mwalimu wakati anaandika hotuba zake. Nilichotaka kusema ni kwamba hawa wanajua zaidi juu ya process hiyo. Mkapa nadhani alipokuwa foreign alichangia katika uandishi wa baadhi ya hotuba za Mwalimu, hasa alizotoa ugenini.
 
Napata hisia kwamba mwalimu aliandika hotuba zake mwenyewe. Maana ukizisoma, unakuta kuna muelekeo kati ya lugha yake, uchaguzi wa maneno, na hata tabia yake ya maongezi.

Ila ambacho sijui ni kama alidraft hizo barua from scratch! Ama alikuwa anapewa mapendekezo ya nini iwe aganda katika maongezi yake, na baaday kushirikisha wataalamu kumpa data!

It will be interesting to know his writing style! weather it was collective or individualistic! and what does it mean

Ted Sorensen katika kitabu chake "Counselor: A Life at the Edge of History" ameandika ni jinsi gani walivyopatana na rais Kenedy kiasi kwamba mara nyingine walikuwa wanaweza kufikiri kama mtu mmoja. Kwa hiyo si ajabu watu wa karibu wa Nyerere kumuandikia hotuba zinazoakisi kila kitu chake.

Ila Nyerere kama muandishi nafikiri alikuwa anafanya final draft zake.
 
Kuna dalili ya kuhoji uwezo wa Nyerere kutunga na kudeliver hotuba zake. Viongozi wote duniani hasa wa kisiasa wana watu wanawaandikia hotuba rasmi. Kipimo cha uwezo wa kuhutubia siyo katika kudeliver hotuba iliyoandikwa rasmi bali uwezo wa kujenga hoja na kuhutubia papo kwa papo.

Nyerere alikuwa na uwezo kama Obama wa kusoma hotuba nzuri na kuideliver vizui ile aliyoandikiwa. Unlike Obama though, Nyerere alikuwa na uwezo wa kuzungumza off the cuff bila matatizo yoyote (rejea mikutano yake mingi na waandishi wa habari the most famous one I'll argue pale Kilimanjaro Hotel).

Lakini kuna hotuba moja ambayo naamini ni Watanzania wachache wamewahi kuisoma na kwa hakika labda ni wachache kabisa wamewahi kuisikia. Ni hotuba ambayo wengi wanakumbuka tukio na kilichotokea lakini hawakumbuki mwalimu alisema nini. NI hotuba aliyoitoa wakati vijana wa Chuo Kikuu wameandamana hadi Ikulu kudai kulazimishwa kwenda JKT. Ilikuwa ni off the cuff na hotuba hiyo haikuchapwa kwenye vitabu vya Uhuru na Umoja na Binadamu na Maendeleo kwani Nyerere alitumia cuss words!

Of course.. I have it!
 
na mihutuba yake mingi tu.................
na kijitabu chake kimoja kinaitwa "MOYO KABLA YA SILAA" kimeja hotuba zakea tu.
 
CCM Haina dira wala muelekeo - Horace Kolimba.
Hii haikuwa hotuba, ilikuwa ni paragaraph mbili kwenye gazeti kutoka na majibu ya maswali mawili aliyokuwa ameulizwa na waandishi wa habari, kwa hiyo huwezi kuiiona hotuba wala watu wanosema walisikia Kolimba akihutubi CCM haina Dira. Alihojiwa mtazamo wake juu ya CCM akasema kwa kifupi sana, nakumbuka zilikuwa paragraph mbili tu kwenye gazeti
 
That is what makes it so great, paragraph mbili zilizokitikisa CCM.

Ukisema na waandishi tayari ndiyo hotuba yenyewe hiyo.

Moreover, hotuba yenyewe (kama unataka the formal one) ipo, ila imezuiwa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom