Hotmail-spam nazitoa je?Msaada wakuu!

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wakuu salaam,
Nimevamiwa na wajanja kwa hiyo my email account yangu inatuma spam kwenye watu wote niliowahi kuwasiliana nao awali.
Nimebadili password mpaka kuweka majina ya kibantu bado. je nifanyeje?Bado naweza kutuma emails na pia naweza kuingia kwenye email account yangu.
Naomba msaada wakuu,maana jamaa zangu wamefikia mpaka ku block email address yangu,
Natanguliza shukurani.
Rakey
 
Back
Top Bottom