hoteli gorofa 8 inauzwa

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari wana JF

kuna hoteli inauzwa ipo karia koo ina gorafa 8 na jenereta kubwa la kusaport kama umeme ukizimika. Inauzwa dola million 3.5

wasiliana nami kupitia 0714-463299 or 0716-369299
 
Mkuu humu JF hakuna mafisadi, bali ni wale tu tuliopigika kwa sera za ccm. Sasa hiyo dola milioni 3.5 tutazitoa wapi? Unaonaje ukajaribu kutoa tangazo lako kwenye kikao cha baraza la mawaziri? Nina hakika hapo wateja ni kedekede.
 
Hivi kilamtu akuza nyumba anauza kwa dola..........mlijenga kwa dol pia?........:flame:
 
Mkuu humu JF hakuna mafisadi, bali ni wale tu tuliopigika kwa sera za ccm. Sasa hiyo dola milioni 3.5 tutazitoa wapi? Unaonaje ukajaribu kutoa tangazo lako kwenye kikao cha baraza la mawaziri? Nina hakika hapo wateja ni kedekede.
Acha watu wafanye kazi kaka!
 
asanteni kwa mawazo yunu bt luna mtu anawezakuona akamwambia boss wake. so thnks sana
 
Wengi humu ndani hiz bei hatuzimudu, bei utafikiri yupo sayari tofauti
 
Back
Top Bottom