Hotel nzuri Dodoma ya bei nafuu

THE BROKER

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
699
835
Wakuu nitakua Dodoma mjini kuanzia kesho jumapili. Naomba anayejua hotel/lodge standard kuanzia 20,000 hadi 30,000 anipe msaada. Nawasilisha
 
unazungumzia hotel au lodge na guest house/rest house? lodge zipo nyingi tuu za bei hiyo uliyotaja.
 
mbona watu mna utani sana af ni kama jamaa yupo serious.. anyway, aise nenda pale Veta hotel au hotel 56. zipo katikati ya mji, karibia na Bungeni. nadhani pale ni karibu na kila angle ya mji utataka kwenda. Veta rooms zinaanzia 25, 56 kuanzia 20 kama sikosei.
 
una UTANI mkuu pale kwa wale nanihii poa
tembe.jpg

Pale kwa mzee Matonya sasawa na bure, vyumba bardii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom