Hosteli ya wasichana morogoro sec, yawaka moto

Kimolah

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
543
709
dakika kadhaa zilizopita, hosteli mojawapo ya wasichana wa sekondari ya morogoro, imewaka moto.... mpaka natoka eneo la tukio, hakuna aliyeripotiwa kufariki, ila mali za wanafunzi zoooote zimeteketea katika bweni hilo
 
Back
Top Bottom