hostel maeneo ya upanga

Ni karibu na wapi hapo gama tafadhali nipe maelekezi mazuri kuna ndugu yangu anataka kusoma sasa sehemu ya kuishi ndo mtihani
 
mkuu pale charambe street huwa naona hostel lakini sijui bei zake. labda ufike pale ulize. kuna nyingine pale kitu cha dalada cha aga khan kama unaenda mwenge kuna hostel. fika pale uulize mkuu. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom