Hostel,,,Hostel CBE Sabasaba

kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
881
1,852
Kwa yeyote mwenye kujua nafasi za hosteli zinazopatikana maeneo ya sabasaba ndani naomba atufahamishe sababu tupo wanafunz wengi tuliokosa hosteli....Angalizo ni vyema tukafahamishwa gharama za malaz, na chakula na hostel iwe karibu na maeneo ya sabasaba
 
cbe ya dar mkuu,wana classrooms maeneo ya sabasaba mbagala
 
Back
Top Bottom