Hospitality & Tourism management!

CHIEF MP

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
1,559
678
Hello!Nmehtim shahada ya kwanza biashara ktk menejment ya utalii & ukarimu hvi karibun!Nipo "vizuri" ktk fani yng kijumla, kwa sasa NAHTAJI TEMPORALY JOB hata kfundsha colleges" Mwny ushauri wa kujenga ANIINBOX!2ijenge nchi ye2 kwa vtendo & c maneno mengi
 
Nani aliyekuambia uko vizuri? Halafu acha kuandika kihuni, umeshakuwa mkubwa.
 
Hello!Nmehtim shahada ya kwanza biashara ktk menejment ya utalii & ukarimu hvi karibun!Nipo "vizuri" ktk fani yng kijumla, kwa sasa NAHTAJI TEMPORALY JOB hata kfundsha colleges" Mwny ushauri wa kujenga ANIINBOX!2ijenge nchi ye2 kwa vtendo & c maneno mengi

kwanza nikupe hongera mkuu, kwa kuwa umesoma na unajiamini nina imani hakuna kitakachoshindikana.Kila la kheri
 
Hello!Nmehtim shahada ya kwanza biashara ktk menejment ya utalii & ukarimu hvi karibun!Nipo "vizuri" ktk fani yng kijumla, kwa sasa NAHTAJI TEMPORALY JOB hata kfundsha colleges" Mwny ushauri wa kujenga ANIINBOX!2ijenge nchi ye2 kwa vtendo & c maneno mengi

Duuuh, umesomea chuo gani? Anyway kuna Bar nyingi tu mjini, waweza kuwa Baamedi temporaly.
 
Hizi degree zingine nazo!

Hakuna dhambi kubwa huku duniani kama MADHARAU
na hilo jibu lako linadhihirisha ni kwa kiasi gani ulivyo limbukeni
kamuulize jata raisi wako kati ya sector zinazotegemewa ktk pesa za kigeni nadhani atakuambia
ushawahi kujiuliza hata siku moja Mbuga za wanyama, game reserve mahoteli ni watu wa namna gani wanazihudumia

unataarifa kwamba Shefs in five star hotel, mshahara wanaolipwa ni mkubwa kuliko wawanasiasa, wachumi, wahandisi. ushawahi jiuliza bongo tuna international shefs wangapi?

Ndio maana hili linchi haliendelei kutokana na mijitu kama nyie mliotawaliwa na mawazo mgando
 
huyu mtu aliyetoa madharau utakuta anasoma medicine halafu at the same time yupo kwenye mgomo wa kuishinikiza serikali imuongene mshahara huku akiwa hajui kuwa sekta gani inaongoza kwa kuipatia nchi mapato mengi kwa mwaka.
 
huyu mtu aliyetoa madharau utakuta anasoma medicine halafu at the same time yupo kwenye mgomo wa kuishinikiza serikali imuongene mshahara huku akiwa hajui kuwa sekta gani inaongoza kwa kuipatia nchi mapato mengi kwa mwaka. MKUU MUNGU AKBARIK KWA UTASHI WKO
 
ni inbox e mail yako kama upo tayari kufanya kazi Arusha na Zanzibar. kama kweli unajua kifaransa ..ila tulikuwa tunataka zaidi mtu anayejua kiitaliano..hii kozi uliyosoma watu wanatafutwa sana kwa Tanzania hakuna wapo wachache sana ..mambo ya hospitality wabongo wanayapuuzia sana huku wakiwa hawajui umuhimu wake
 
[QUOTE=Kilahunja!kama hujui adabu alipo niambie nikakuitie ili akufunze..alafu ishaur serikal itoe wizara ya utalii cz nais haina maana Mwisho, hongera wewe ulosomea degree bora. "THNX MKUU, NMEKPATA KWA BUSARA YKO!"
 
Back
Top Bottom