Hospitali ya Muhimbili yapata Mkurugenzi Mpya...Dr. Njelekela

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
DR.MARINA ALOYCE NJELEKELA: MUHIMBILI’s NEW BOSS
Posted: 31 Oct 2011 06:49 AM PDT
Dr.Njelekela.jpg
This is to inform the general public that the Muhimbili National Hospital Board of Trustees has appointed Dr. Marina Aloyce Njelekela as the Executive Director of the Hospital with immediate effect. Before her appointment, Dr. Njelekela was a Senior Lecturer and Head of the Department of Physiology at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS).

Dr. Njelekela has worked with MUHAS since 2001 and prior to that, she had worked at Kisarawe District Hospital as a Medical Officer and at the Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) as a Registrar until 1998 when she went for further studies in Japan.

Dr. Marina Njelekela holds a Doctor of Medicine Degree from the Univeristy of Dar es Salaam, and a PhD in Human and Environmental Studies from Kyoto University, Japan. Her area of specialization was Pathogenesis of Lifestyle Related Diseases in Developing countries.

As a team player, Dr. Marina Njelekela led the Medical Women Association of Tanzania (MEWATA) for six years. During her two terms as a MEWATA leader, she was in the forefront of health awareness among women and the general public, especially on Breast Cancer Awareness and Screening Campaigns that were conducted in Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Mtwara, Lindi, Dodoma, and Manyara.

She is also well known for her role in advocacy campaigns and has brought to light the real extent of the problem of breast and cervical cancers in Tanzania that led to significant improvement on the prevention and management of Cancers in the country.

Dr. Njelekela sits on various Boards, including the Aerial Glaser Paediatric AIDS Healthcare Initiatives (AGPAH) and Management Development for Health (MDH). She is a recipient of various awards in academia and social services, including the prestigious Martin Luther King Drum Major Award for Justice that was bestowed on her by the US Embassy in January 2010 for her efforts to improve women’s access to health care services.
 
nimeona.
 
Hongera mama mwenzetu, mwenyezi Mungu akupe maono ya kuwa mama mwema, ukapate kibali cha kuongoza staff wenzako.
 
Mungu akakuongoze katika kila jambo, na vyote utakavyotaka kufanya vikapate kibali machoni pake. Hongera sana. I am proud of you.
 
Hapa siasa tu, huyu mama ana back-up ya Salma, CV yake haimpi uwezo wa kuwa mkurugenzi wa hospitali kubwa kama Muhimbili, namtakia kila la kheri but this is the beginning of the end of MNH. Nchi hii inaongozwa na Riz1 na Salama sijui kama tutafika.
 
Hongera sana kwa mama yetu huyo. C.V. yake inaonyesha HAKIKA anastahili. Tunamwombea Kwa Yehova Mungu, ampe Hekima, Upendo na Imani, ili aendelee kutumika ifaavyo.
Amen.
 
Mama asivunjike moyo, sababu kuna mengi kwa mwanadamu. Wengine wataponda, wengine watasifu. Akaze boot tu!! Kwa sbb wanawake tunaweza. Pia katika utendaji, kuna wasaidizi wenye uzoefu, akimtumaini Mungu tu na kujipanga vizuri, TUTAFIKA SANA!! Ngojeni mwone makali yake. Kama ni Rizi 1 na Mama Salma wanaongoza? Shida iko wapi? Kwani wanaongoza vibaya? Nijuacho mie kuna board ya Muhimbili, na Board members nao wanaongozwa na Rizi1 na Salma? Kama ndio hivyo , hembu angalia Libya. Gadhafi pamija na kwamba hakuwa na Baraza la Mawaziri, aliongoza yeye na familia yake na marafiki zake, je, hali ya kiuchumi kwa wananchi wake ilikuwaje??? Super! Tena sasa wamemuua Gadhafi, ngoja uone jinsi uchumi wa Libya utakavyowafaidi mafisadi. Gadhafi alilijua hilo, ndiyo maana aling'ang'ania madarakani. Amka ndugu yangu Kapotolo. Usiangalie hapa karibu tu, tazama kuleeeee..... TAFAKARI.
 
Mama hongera!! But we need excellent service at our National Health Centre!! Its so bad mtu kufika pale na kufia kwenye benchi wakati binadamu wengine tena wamekula kiapo kuhudumia binadamu wenzao na wanalipwa mshahara kuiacha kazi yao na kusahau maadili ya kazi zao.

Hope mama utaonyesha ushujaa!
 
Hapa siasa tu, huyu mama ana back-up ya Salma, CV yake haimpi uwezo wa kuwa mkurugenzi wa hospitali kubwa kama Muhimbili, namtakia kila la kheri but this is the beginning of the end of MNH. Nchi hii inaongozwa na Riz1 na Salama sijui kama tutafika.
Nakuunga mkono hoja yako! Kwa wasiomjua huyu mama watamsifia.. Lakini kwa upande mwingine Nadhani huyu Njelekela hakustahili nafasi ya ukurugenzi, Kwanza amepewa kwa upendeleo(amepigiwa debe na dada yake katibu mkuu wizara ya Afya, na Mjomba wake Katibu mkuu Kiongozi Ikulu- wote hawa ni WANGONI wenzake)
Pili ni mtu wa visasi na asiye na strategic vision, alipo pewa kuongoza idara ya Phyisiology hapo MUHAS aliishia kugombana na kila mfanyakazi pale idarani kwa misingi ya majungu na fitna!
Pili ile kampeni yake ya MEWATA ilikuwa ya kitapeli na kifisadi (hii ndo iliyo mjengea jina na kumtangaza) Pesa zote walizochangisha yeye na Muhavile asilimia kubwa ziliishia mikononi mwao na kujijengea Mahekalu ya Kifahari.
Uwezo wake ni mdogo sana tangia anasoma pale Muhimbili,Aliajiriwa Muhimbili kwa upendeleo na aliyekuwa mkuu wa chuo wakati huo- Prof Mtabaji- akapewa na gari Prado la kutembelea kiupendeleo(hakuwa na sifa wala vigezo)
Amakweli Serikali ya awamu ya nne inazidi kupoteza mwelekoa kwa kuchagua watu kwa undugu,ukabila na kujuana bila kuzingatia uwezo na sifa za watendaji.
Naomba nieleweke sina wivu, ila tusubiri tuone, natabiri kuzorota kwa huduma za Muhimbili kwa asilimia 90% na ufisadi utaongezeka sana pale muhimbili!
Bada ya mwaka mmoja watanzania watajionea hali halisi ya utendaji wake!
 
Hapa siasa tu, huyu mama ana back-up ya Salma, CV yake haimpi uwezo wa kuwa mkurugenzi wa hospitali kubwa kama Muhimbili, namtakia kila la kheri but this is the beginning of the end of MNH. Nchi hii inaongozwa na Riz1 na Salama sijui kama tutafika.

Mimi ninafikiri kwa CV yake niliyoiona, uwezo wa kuongoza anao. Nafikiri kama aweza kuongoza baadhi ya tasisi kwa mafanikio basi ni vizuri tumpe muda wa kufanya kazi na kuona kama ataweza kutatua matatizo sugu yanayoikabili Muhimbili ambayo kila mtu anayajua na hayahitaji miujiza. Cha msingi ambacho nimefurahia hatokei kwenye menejiment iliyopo, hivyo ni mwanzo mzuri.
 
Ninamuunga mkono huyu daktari all we need is to help her to achieve

ana bahati mbaya amekuja tukiwa na wakati mbaya sana kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni
 
Ina maana hao maprofesa wa long service hapo muhi2 hawakuomba hiyo nafasi? Cv ya huyu dada naona ni ya kusoma na kupata vyeti tuu. Lakini uzoefu wa uongozi kwenye taasisi kubwa kama muh2 bado. Naona kuna haja ya wafanyakazi kushirikishwa katika uteuzi wa mkurugenzi wao. Hii ni kwa sababu wao ndio wanaomjua ni nani anafaa kuwaongoza na siyo kuteuliwa kwa kupitia mafaili.
 
Muhimibili siyo taasisi kubwa ni hospitali tu kama zingine, actually kairuki (RIP) single- handed aliweza kujenga hospitali kubwa.
 
Hapa siasa tu, huyu mama ana back-up ya Salma, CV yake haimpi uwezo wa kuwa mkurugenzi wa hospitali kubwa kama Muhimbili, namtakia kila la kheri but this is the beginning of the end of MNH. Nchi hii inaongozwa na Riz1 na Salama sijui kama tutafika.

inawezekana unachosema ni kweli, lakini tuwe positive kwanza tuone kwa kuwa MNH imekuwa ikiongozwa na wanaume miaka yote lkn miaka 50 ya uhuru bado tunapeleka wagonjwa india kufanyiwa operations za ENT. wasiwasi wangu ni kama amepewa kwa sababu ni mwanamke (gender) asiwe kama Mama Makinda Bungeni.
 
Back
Top Bottom