RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 110
Nalileta kwenu waandishi wa habari.
Naomba sana mtusaidie kumulika utendaji kazi wa hospitali ya mkoa dodoma.
Hosipitali zote za serikali zipo corrupt lakini hii ya dodoma no.1.
Jaribuni kufanya ziara ya kushtukiza na kuwahoji wagonjwa! Mawodini mtajionea wenyewe.
Yani kama sio makao makuu ya nchi na viongozi wote wanapita dodoma.nenda wodi ya watoto, vidonda vinaoshwa kwa mama zao na sio wauguzi tena kwa maji ya moto na sio dawa. Mgonjwa haandikiwi dawa baada ya kutoka chumba cha upasuaji bila kutoa rushwa. Ukatiri gani huu?
Nitaomba mrejesho baada ya kuifanya kazi hii.