mama yuva
JF-Expert Member
- Aug 3, 2010
- 226
- 47
Tafadhali kama kuna mtu yeyote anayeijua au anafanya kazi Hospitali ya IMTU, Mbezi. Jamani Hospitali yenu vyoo vichafu, mtoto anatapika mama anaambiwa azoe matapishi mwenyewe, tena kwa ndoo chafu sana ya chooni, amabko ni kuchafu hakutazamiki, halafu mama huyu anapolalamika huduma mbovu, nurse anasema, "au nikupe simu ya bosi wangu umpigie", Ina maana hawa mabosi wa hii hospitali wanakubali hayo ambayo wafanyakazi wao wanayafanya?
Kwa kweli inabidi wajirekebishe vinginevyo watakuwa ni chanzo cha watu kupata magonjwa zaidi na si tiba.
Kwa kweli inabidi wajirekebishe vinginevyo watakuwa ni chanzo cha watu kupata magonjwa zaidi na si tiba.