Hosea wa Takukuru yuko live ITV sasa hivi

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Yule Hosea wa Takukuru sasa hivi yuko live ITV katika kipindi cha Dak 45 akibwabwaja. Sijui wataruhusu maswali?Aulizwe ile ripoti ya Wikileaks kwamba alinukuliwa akilalamika kwamba JK anamzuia kuwashitaki baadhi ya mafisadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom