Hosea: DPP amekalia kesi 60 za vigogo...

Kila mtu huhukumiwa/kuadhibiwa kwa makosa yake yanapothibitishwa pasipo shaka.
Coni 7bu kwa nn na hii serikali isiadhibiwe 2015!
 
Jamani hiyo kauli siyo kama haina ukweli ni ya kweli lakini watapelekwa mapapa lakini sio wale mnao wafikiria, wapo watao watoa sadaka kwa ajili ya uchaguzi 2015,
 
Mkurugenzi TAKUKURU amesema katika semina ya wabunge,kama taasisi hiyo haitapewa mamlaka ya kuwafikisha watuhumiwa wa rushwa mahakamani,bora ifutwe.NITAWASHUGHULIKIAJE MAFISADI PAPA HUKU UMENIKAMATA MIKONO?my note:kwa kauli yake hii hana muda mrefu atatimuliwa kazi
 
Wakati tanzania ikiwa imegubikwa na wimbi la viongozi wenye kuhujumu uchumi wa nchi kwa kufanya ufisadi wa kila namna, Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Dr. Edward Hossea katika kuonesha namna serikal inavomzuia kupambana na rushwa, anasema.. kama TAKUKURU haitapewa Mamlaka ya kushtak ni bora ifutwe!!! Kwamba huwez kumpa kaz ya kukamata wala rushwa wakati umemfunga mikono. 0
 
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru Dr.Hosea akizungumza kwenye semina ya African parliamental against corruption mjini Dodoma amedai kuwa serikali imeipa mamlaka ya kupambambana na rushwa ndogondogo na wakati huu wanazuiliwa kupambana na rushwa kubwa kubwa,akidai kuwa ni lazima wapate kibali kwa Dpp anasema hali hii ni sawa na kufungwa mikono,ameitaka serikali kuwapa madaraka ili wapambane na rushwa nchini,source Itv
 
Wakuu naomba kuuliza,hv si ni huyu huyu Hoseah aliyesema kuwa wikileaks ni waongo baada ya kutoa ile habari yake kuhusu kubanwa mbavu na Mkulu kuhusu kuwapandisha Kizimbani Mafisadi papa?
 
DPP ndiyo kikwazo hasa hili limeongelewa na wananchi. DPP anameno sana sana katiba mpya inabidi hili liwekwe
 
Jaji Manento jana kamweleza ukweli mtupu huyu Hoseah, issue sio DPP, tatizo liko kwao TAKUKURU maana hata kwa kesi ambazi DPP katoa vibari bado ushahidi waonesha TAKUKURU kushindwa mahakamani kutokana na kuwasilisha ushahidi dhaifu.
 
Jaji Manento jana kamweleza ukweli mtupu huyu Hoseah, issue sio DPP, tatizo liko kwao TAKUKURU maana hata kwa kesi ambazi DPP katoa vibari bado ushahidi waonesha TAKUKURU kushindwa mahakamani kutokana na kuwasilisha ushahidi dhaifu.

Feleshi, ina maana hata kwa kesi hizo zinazodaiwa wewe umikalia tatizo ni hilo hilo la kuwasilisha ushahidi dhaifu?
Hivi inawezekana kweli taasisi kama Takukuru inaweza kuwasilisha kesi zaidi ya 60 na zote zikawa na weak evidence?
Kama hali iko hivyo basi ni afadhali Takukuru ifutwe maana haina maana yoyote.
 
Alipotoa tuhuma juu ya majalada 60 aliombwa mdahalo na DPP authibitishie umma ni majalada yepi na yamekaa kwa muda gani matokeo yake alikimbia, kesi ni ushahidi na si busara kukimbilia kufungua kesi pasina kuwa na "watertight" evidence maana mwisho wa siku gharama zinalipwa na walipa kodi maskini wa Tanzania.
 
Huyo DPP upo ushahidi wa wazi kuwa naye anatumika sana na magamba.

Hebu tuangalie mfano mmoja tu,angalia namna alivyoshupalia kesi ya Lwakatare na kulazimisha,kuifungulia mashitaka ya ugaidi,hadi pale alipopata aibu ya mwaka,pale,alipoumbuliwa na jaji Kaduri wa mahakama kuu,pale alipofuta mashitaka yote ya ugaidi na kusema wazi kuwa,haoni hata chembe ya ushahidi,ambapo hiyo kesi,unaweza kuiita ya ugaidi.

Ambapo mauaji kadhaa yanayotokea mfululizo nchini mwetu,hajawahi kuthubutu hata mara moja kuthubutu kuifungulia mashitaka ya ugaidi.

Huyo Feleshi,kwa namna anavyotumika kupita kiasi na magamba,ameidhalilisha sana taaluma yake ya uanasheria!!
 
Back
Top Bottom