Hosea:Dola za kimarekani bilioni 148 hupotea kila mwaka kwa rushwa Afrika na kuwekwa benki za nje

nyaupusi

Member
Jun 16, 2012
6
0
Ndugu Hosea anasema hivi wakati kuna fununu ambazo hazija thibitishwa na upande wowote kwamba kuna mfanyabiashara maarufu wa Tanzania anataka kupeleka pesa nje ya nchi. Hili nalo wadau likoje maana sielewi hapa? Mkutano wa kurudisha pesa unafanyika Tanzania wakati kuna mtu anataka kutoa pesa Tanzania hapo hapo na kupeleka nje. Nbaki na viulizo???????????????????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom