Horace Kolimba hafanyiwagi kumbukumbu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safari_ni_Safari, Mar 19, 2013.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 17,864
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  [​IMG]
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 10,174
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 63
  Horace Kolimba hata Chama ulichoongoza ukiwa katibu mkuu kinakupotezea!!!! Kweli CCM haina Dira!
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waue na wamkumbuke? wapi ulishawahi kuona hivyo?
   
 4. g

  gakato JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 16
  Afanyiwe kama nani sasa? jamani nchi hii itakuwa ya KUMUKUMBU tu? Familia yake imfanyie tu!
   
 5. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2013
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 6,884
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 48
  Kama Mkapa asingweka siku ya Nyerere Day kwenye Public Holiday nafikiri tusingekumbuka hata ni lini alitutoka .................... maana hawa jamaa hwataki hata kusikia ni Baba wa Taifa halafu iwe Kolimba!!??
   
 6. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2013
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  Mkuu, hizi kumbukumbu zitakuwa nyingi sana.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 17,864
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Hii ndio nyumba ya Hayati Horace Kolimba aliyoiacha Kijijini kwake huko Manda kwa taarifa ambazo nilizipata kwa sasa inakaliwa na Wanafunzi ambao wanasoma Shule ya Sekondari Manda


  [​IMG]
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2013
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 10,174
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 63
  Wakati now hadi Ma afisa utumishi wilaya wana magorofa!!!
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 17,864
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
  Sikumaanisha tusiende kazini bali hata kumtolea makala maalumu ingetosha
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Nani aote, familia ama serikali??

  Kwani Sokoine anafanyiwa kumbukumbu?

   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 17,864
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 38
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,651
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  sura halisi ya wazalendo.
  weka na picha ya mwenyekiti wa CCM kata ya Ubungo ulinganishe na hii ya aliywahi kuwa katibu mkuu.
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2013
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 5,300
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  CCM kama wakimfanyia kumbu kumbu basi watamuita yeye alikuwa mchochezi, kwani kwa hawa wauaji CCM msema kweli anapigwa chapa ya uchochezi.
   
 14. b

  betlehem JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2013
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 5,615
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Ingependeza kama mtu mmoja anayeijua vizuri historia ya Kolimba ataiweka humu kwa mapana na marefu kwa sababu wengi wetu hatufahamu kwe undani historia ya mtu huyu.
   
 15. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 7,481
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 48
  Wameamua "kumpotezea" kisa aliwaingilia kwenye kumi na nane zao....
   
 16. M

  Moony JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2013
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,584
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Bora na hii; ya Dr OMAR je????????????????
   
 17. Mungo Park

  Mungo Park JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 478
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Nafikiri wahusika ni 'wasikivu' na watafanya kila wawezalo kufanya 'damage control' ijapokuwa haikuwa katika vipaumbele vyao..
   
 18. k

  kinauche JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 6,251
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 48
  Hivi watu wengine mmejichoka au mmechoka kuishi? Nadhani maisha yanawasugua kiasi kwamba mnatamani kufa. Poleni. :deadhorse:
   
 19. Ivonya-Ngia

  Ivonya-Ngia JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2013
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 725
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 18
  Mkuu zumbemkuu
  Hii nyumba ya kufikia kama HK aliijenga miaka ile(1970's, 80's ama early 90's) kule kijijini kabisa manda-ludewa basi ni kali aisee sema tu kwa mwonekano huu wa sasa sababu kubwa itakuwa ni ukosefu wa matunzo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2013
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,579
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi namkumbuka kwa kauli yake kuwa CHAMA HAKINA DIRA WALA MWELEKEO ambayo kwa sasa ni dhahiri kuliko wakati mwingine
   

Share This Page