Hope You Like this...I did

Mzee nimeipenda sana! It such a great editing and art work! Huyu Jamaa aliyekusanya hizi clips anitwa nani? Na alikuwa anafanya kampen ya nini? maana naona wansema song for change, Change zipi walikuwa wakiadvocate kwenye hizi nyimbo? Mkuu kazi nzuri sana. I hope some1 else somewhere will enjoy 2
 
Bloody marvelous!! Makes me feel lucky to have at least this shitty life. God bless this Sunday
 
Brilliantly done! If only people from all walks of life and colors worked together like that what a great world this would've been! Stand by me...
 
Mzee nimeipenda sana! It such a great editing and art work! Huyu Jamaa aliyekusanya hizi clips anitwa nani? Na alikuwa anafanya kampen ya nini? maana naona wansema song for change, Change zipi walikuwa wakiadvocate kwenye hizi nyimbo? Mkuu kazi nzuri sana. I hope some1 else somewhere will enjoy 2

I am glad that you liked it too. Hiyo link nilitumiwa kwenye e mail, nikaipenda na nikaamua ku share na wengine. Bahati mbaya sijui ni nani aliyekusanya hizo clips, nitajaribu kutafuta nikpata info nitawakilisha. Siku njema and God bless.
 
mkuu nimempata aliyekusanya hizi clips, ni kazi ya miaka mitatu, film ya masaa 200 na baadaye wametoka na DVD ya dakika 75 alafu wakaleta hao wanamusic pamoja kufanya concert, na lilifana mno, unaweza ona Interview hapa [ame=http://www.youtube.com/watch?v=YEuggfL-u3k]YouTube - Mark Johnson, Jonathan Walls, Playing For Change Movie[/ame]
 
That is what is called original art! Natural producers who managed to keep pieces together to celebrate the art of outstanding musicians. To me its seems he collected different pieces from streets and put them together ! it is wonderful
 
Last edited:
original song

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=Vbg7YoXiKn0]YouTube - Ben E. King - Stand by me[/ame]
 
Angalia wa Bob Marley ulivyokuwa umechanganywa, Nimependa kionjo cha Afrika kusini. Katika interview jamaa nasema alitumia miaka 3 masaa 200 ya kufilm ana kuedit kupata dakika 75 DVD alafu baadaye walifanya concert iliyowaunganisha wanmuziki hao wote.

Hapa wimbo wa BOb Playing For Change | Peace Through Music
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom