Hoooooooooooodi

bmbwiga

Member
Feb 13, 2012
5
0
Hi!

Natumaini wote muwazima wa afya tele. Nifungulieni mlango nami nipate kuwa mwana jamii katika jukwaa hili.:lol:
 
Mbona mizigo mingi hivyo umefukuzwa huko kwenu nin?
Karibu jickie kama huko ulipotoka...
 
Aksanteni saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan

Hiv hukujua m nan hapa mapokez?
Cna hata wik bt nimeshapata cheo, sa ww ntakupangia idara ya usafi! Haya chukua NDO,FAGIO,DEKIO & SABUNI kafanye usaf na nickukute unacheza cheza ovyo.
 
@Gabmanu kama nikijisikia kama nilikotoka,naona bora nirudi tu huko,huenda huku hakuna uahueni
 
@Gabmanu yaonekana wewe ni mikimbizi umekaa kisharishariiiiiii,huwezi kumkaribisha mgeni namna hiyo,au wewe ni mlinzi hapo mapokezi?
 
@Gabmanu yaonekana wewe ni mikimbizi umekaa kisharishariiiiiii,huwezi kumkaribisha mgeni namna hiyo,au wewe ni mlinzi hapo mapokezi?

Aisee, w mgen unaonekana mkorofi! Au m naona mvivu,kufanya usafi kunakushinda hebu ona hizo takataka ulizoziacha hapo.
Sasa nisubir baada ya li sa ntakuamisha idara.
 
Back
Top Bottom