Honorary Doctorates for JMK, BMW, JKN and AJ

Ngereja

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
798
333
Nimekuwa ninjiuliza maswali mengi mojawapo likiwa ni kwanini shahada ya heshima ya udakatari ya rais wetu JM Kikwete inapembejewa sana. Ikizingatiwa kuwa hata viongozi waliopita kama Mwalimu nyerere, Mkapa, Aboud Jumbe nao pia walipewa hizo shahada au na vyuo vyetu au na vyuo vya nje lakini ni mara chache tulisikia prefix. ya Dr. Nyerere, Dr. Mkapa. Dr. Aboud Jumbe. Ikumbukwe pia Nyerere alipewa Uprofessor wa historia na Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam. Ukitaka kujua zaidi unganika hapa University of Dar es Salaam - About Us - Honorary Degrees Awarded

Just a food for thought.!!!
 
Zaidi ni swala la watu kujipendekeza kwa JK na unafiki..... vile vile inatajwa zaidi na wapambe wakijaribu in way kutaka kujaribu kufunika incompetence za JK kama kiongozi wa nchi
 
Hao wengine hawakuona kama ni muhimu sana kuutumia u-doctor huo kwa kuwa
waliamini katika kazi walizokuwa wakichapa, lakini huyu tuliyenaye kaona hakuna ujiko
zaidi ya huo wa kuitwa Doctor kwani inamsaidia ku-cover weaknesses alizonazo.
 
Nyerere alikuwa kipanga kiasi kwamba hashindwi kupata digrii ya uzamivu kutoka chuo chochote hapa duniani, isipokuwa majukumu yalimsonga sana hivyo hakuona kuwa Dr Prof kwa heshima ni kitu cha kushikamana nacho bali alijishusha na kujiita Mwalimu (Mwl.) siku zote.

Kwa upande wa JK nina wasiwasi na uwezo wake darasani hivyo digrii hiyo ya kupewa lazima aifagilie vilivyo.
 
Waswahili siku zote hupenda vya bure na hawaoni soni kutamba navyo mitaani hata kama siyo vyao. Binafsi simshangai mkwerre kwani yeye ni typically mswahili.
 
Waswahili siku zote hupenda vya bure na in fact hawaoni aibu kutamba mitaani na vitu vya bure au kuazima. Mkwerre ni typically mswahili.
 
Ukiondoa wanahabari wakiongozwa na TBC hakuna mwingine anamwita JK Dr.
Wanahabari wetu si unawajua! Na vyuo vyetu siku hizi vimejaa siasa, kila mtu anaangalia tumbo lake tu. Utakuta na huko Rushwa ilitembea ili watoe hiyo Honoraria!
 
It is all because of Dr Slaa! Mkuere is trying very hard to at least sound like him!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom