Hongerini wana jf

chua

New Member
Nov 10, 2010
2
0
wadau kwanza naomba kujitambusha kwenu kwani mimi ni member mpya. Pili nachukua fursa hii kuwapongez wote mliotumia muda na akili zenu kUfuatilia na kuchangia kwa maono ya fikra chanya kuhusu swala zima la uchuguzi wa mwaka huu. Ni ukweli usiopingika kwamba JF imekua chachu kubwan sana ya kupigana na ufisadi na imechangia kwa kiasi kikukwa kutoa elimu ambayo kwa njia moja au nyingine imeisaidia jamii yetu ambayo wengi wetu tunaishi chini ya dola moja. MWISHO NATOA WITO KWAMBA TUENDELEEE NA NGUVU ZETU ZA KUKOSOA KWA NIA YA KUBORESHA KWA KUFUATA TARATIBU ZINAZOKUBALIKA BILA KUVUNJA SHERIA.

AHSANTENI SANA

WENU
CHUA
 
Karibu CHUI....oops .....Sory...Chua
 
asante sana ndugu chua....tunashukuru kwa maneno yako ya kutia moyo na karibu sana katika jukwaa hili ili tuweze kupata michango yako mbalimbali
 
karibu sama.. btw! chua hilo jina lako linamaana gani! "masaji..?" au
 
Asante karibu nafarijia na ujio wako kwani nilisha anza kuwa na woga huko nilikotoka nilikutana nakingereza nusu eti in da jf sikuelewa hadi mzee mwenzangu Acid alipo ninong'oneza eti hiyo in the jf!!!!lakini weledi akina preta zamaaani walisha jua mara sijui hili neno linawakilisha mkoa gani au nikidhungu??neno swaga,mimi nijuavyo swaga nikukimbiza kundi la ng'ombe!Karibu mpwa!
 
Back
Top Bottom