Hongereni...

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Ni jana tu clouds fm wametunukiwa tunzo na makamo wa rais mh.g.bilal tunzo ya kuwa super brand radio station,kwa mara ya pili wanapewa tunzo hyo na ni radio ya kwanza kupata tunzo hyo kwa hapa Tz,hii tunzo inayotolewa kwa makampuni yaliyofanya vizuri kwa mwaka
mzima,makampuni mengine yaliyopewa tunzo hyo ni kampuni ya bia ya serengeti,airtel,vodacom n.k yoo
hongereni clouds,jo kusaga+ruge+c.fm workerz yoo
 
hata ccm walifunika kwenye tafiti za Redet lakini mwisho dola ikawapa nchi na si kura!jidanganyeni huku mtaani mnapoteza kwa kasi mashabiki na kama mnabishia viji tuzo uchwara subiri time will tell! Badilikeni!
 
Wewe GT ni Mzanzibar??? Makamo??? Wanajiiita Iddy sana kwa coverage... Wamebakiza mikoa michache sana ilo nawapa PONGEZI japo RFA na KISS pia wapo fit...
 
Mtoa thread, ccm pamoja na clouds fm wate ni wa*****
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom