Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Mramba ametuaibisha Warombo! Asante sana Baba na Shangazi zangu kwa Kufanya kile nilichowaomba kufanya Asanteni sana
kilichomwangusha mramba ni dharua yake , aliwatukana wamama wa sokoni mashati, kwa kuwaonyesha ishara mbaya sana, kuja kwa dr slaa mara mbili, vijana kujitolea kuanzia police wa rombo, wauza fedha mpaka, mabodaboda na SELASINI kuwa karibu na watu warombo , bila kuwadharau, sasa, ndugu yangu ndege ya uchumi ,Rafiki yake MRAMBA , maulid jana kalala mapema , lucas mchomba haonekani, hapa tarakea mjini DIWANI wa chadema ksshinda hata bila kupiga kampeni
yanii vijana wamefurahi jana sana

Mungu ibariki tz , ibariki rombo
 
Asante sana kwa habari njema toka Rombo. Tuzidi kusali AMANI iendelee kuwepo. Tuombe vile vile Slaa ashinde Urais. Ni muhimu mno shujaa wetu Dr. Slaa ashinde. Bila hilo hakutakuwepo na about turn ya kweli.
 
Mwaka huu ni wa ukombozi. mafisadi wote lazima iwe chali. hata huko watakakoshinda wananchi wake watajisikia wapweke.
 
Napenda kuchukua Fursa hii kuwapongeza Watanzania wa Jimbo langu la Rombo Kwa kumwangusha Fisadi Mramba.

Pamoja na Mkwere kumnadi ni mchapa kazi, Nyie mlitafakari na kuzichambua Mbivu na mbichi.

Binafsi hii imekuja kama mshangao fulani kwangu. Huyu jamaa alikua anabebwa sana na matajiri a.k.a
mafisadi wa kule Rombo.

Napenda tena niwapongeze tena wanarombo kwahili.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
eee mungiu tunashukuru kwa kuiokoa tanzania yenye neema kwa wachache ili iwe neema kwa wengi kupitia chadema
 
DR. Ndege ya Uchumi hongereni, kazi kwako kulirusha helkopta la rombo.
 
safi sana! kama kuna sehemu wameonesha kutokudanganyika ni Rombo. kakasheni vandu vakwa...
 
Napenda kuchukua Fursa hii kuwapongeza Watanzania wa Jimbo langu la Rombo Kwa kumwangusha Fisadi Mramba.

Pamoja na Mkwere kumnadi ni mchapa kazi, Nyie mlitafakari na kuzichambua Mbivu na mbichi.

Binafsi hii imekuja kama mshangao fulani kwangu. Huyu jamaa alikua anabebwa sana na matajiri a.k.a
mafisadi wa kule Rombo.

Napenda tena niwapongeze tena wanarombo kwahili.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Hii ni kumthibitishia JK kuwa watanzania wakiamua wanachagua kumpa wanayemtaka bila kujali vitisho vya wakuu!
 
CCM imeambulia kura za mafisadi na walinzi wao polisi na wanausalama wachache.
Sisi tulio wengi tumeamua kwa haki na Muungu ametupatia slaa new residaa.

Mtafuteni Malaria Sugu aje hapa jukwaani tucheze LELE
 
Back
Top Bottom