Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Tupe angalau data chache kwa ukamilifu, angalau kwa kituo kimoja

Mkuu imeshatangazwa habari ndio hiyo, sasa ndio atakuwa mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiii, maana sijui kama Dr Slaa akiingia Ikulu atapona
 
Sasa nimeamini demokrasia inanguvu ikipewa nafasi,...Mramba?Rombo can't believe this.
 
Obama:

Your kiding!!

Huyu ni mchapakazi...alinadiwa...

Nguzo ya zamani... etc

God` I dont belive hivi vitu vinawezekana..!!!!!!!!!!!!!!!


Mkuu hata mm sikutegemea habari ndio hiyo, NEC tayari imeridhia, imagine is like ndoto kwangu, maana alisema YEYE ni Panga la ZAMANI ila makali ni yale yale, kumbe alikuwa panga butu maskini Mramba weeeeeeeee
 
Mkuu imeshatangazwa habari ndio hiyo, sasa ndio atakuwa mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiii, maana sijui kama Dr Slaa akiingia Ikulu atapona

Huko Hai Vipi mkuu?

Hii JF forum is more informative than any means of media in TZ. JF Iko juu.
 
Khe khe kheeee nicheke mie jamaa aliacha uwaziri kwa kutuhumiwa tena hoja nzito kabisa lakini CCM kwa kutumia ujeuri wao wakafikiri Watanzania ni wale wale wakuburuzwa kuswagwa kama ng'ombe na kulazimishwa kunywa maji hata wengine walidiriki kusema tunaweza kula nyasi. Asiye na mwana aeleke jiwe. Bado ni mapema lakini dalili ya mvua ni mawingu.

Walikuja Wachambuzi nondo zikawa kali wakakimbia wakarudi na kufikiri huu moto utazima lakini ndio kwanza uliwashwa wakatoroka .. .... ....
 
hakuna kulala.................................................... pipoz pawa
 
Maajabu ya mungu tarakea, rombo

mgombea wa udiwani wa chadema kata ya tarakea , bwana ayoub, ameshinda udiwani bila hata ya kupiga kampeni, japokuwa ccm walikuwa wakimtusi eti iweje mtawaliwe na fundi cherehani( mshona chupi) lakini vijana wamefanya maamuzi, wamesema haiwezekani wakaa vyaa suti isiyokamilika, yaani udiwani, mbunge(selasin) na urais (slaa)
 
Back
Top Bottom