hongereni ttcl ila sijui kama nduki ni kweli?

wakwetu 2

Member
Mar 23, 2011
96
4
taarifa nilizo nazo nimesikia wametoa huduma mpya ya unlimited ya nduki na wametenga vifurushi kwa aina kama nne na ni kwa mwezi na ina kasi nzuri, my take ni marketing tactics au kweli itakuwa kasi na unlimited mda wa mwezi?
 
Mkuu umewahi sana kuwapongeza jamaa hawa. Mimi pia nilidanganyika na matangazo ya banjuka, ila nilichokuta ni unlimited wizi! Mimi nadhani, tukiashaanza kutumia hivyo furushi ndo tutaweza kuwahukumu. Ila kwa sasa tusubiri tu.
 
Zote ni shared mkuu, kuanzia nduki 256kbp hadi nduki 2mbp zote hizo ni shared hivyo speed inategemea na wenzio wanafanya nini kwa wakati huo.


Speed ya juu kabisa ya nduki 256kbp ni 35Kbp...sijajua kama wamebadilika maana mwanzoni ulikuwa ukiunganishwa na huduma zao za internet usipo tumia mwezi mzima labda kama umesafiri n'k,

ukitaka kutumia tena huduma yao lazima uandike barua ya maombi ya huduma hiyo tena na kulipia tsh 25,000 ya kuombea huduma hiyo nje ya malipo ya vifurushi vyao
 
Back
Top Bottom