Hongereni star tv kwa ubunifu

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487


Hakika kuna kila sababu ya kukipongeza kituo cha televisheni cha Star Tv kwa ubunifu wao wa kufikisha ujumbe husika kwa kutumia katuni ya wanamuziki. Kwanza walianza na “Baba nipe pesa watoto wanalia njaa” na sasa wamekuja na Tanesco. Hongereni sana na mzidishe kubuni kwa yale yanayoikabili jamii kwa sasa.









 
Ni kweli. Huo ni ubunifu wa G. Mwampembwa maarufu kwa katuni na puppets (vikaragosi). Hii ya star tv wanaiita 'Pikabom' yenye mhusika mkuu aitwaye Ndeshau. Star tv hongereni sana kwa ubunifu huu unaoniburudisha sana kwa kuwatania wanaoshindwa kutimiza wajibu wao.
 
Hata mimi nimekipenda sana kipindi hicho, ubunifu mzuri!
 
kweli kabisa ninawapa hongera pia maana ni jambo la msingi sana na hata hivyo ninapenda kuwapa pongezi zaid kwa kutupa habari nzuri na zenye uhakika amakweli STAR TV ni kituo cha habari na burudani za ukwelii ninawakubari sana dira ya dunia
 
Back
Top Bottom