macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,448
- 38,688
Safi sana
hata tuonyeshe hayo matatizo ya matumizi ya NSSF kwenye hizi project za ujenzi..nothing wrong with sharing information and data ili kuweza kusupport argument yako
Halafu hebu tuonyeshe ni project ipi bei imeongezwa mara kumi...surely shirika kama hilo lina ma audotors, external auditors na kadhalika na kama kungekua na tatizo wangelisema au naongopa
Basi tuletee mfano wa mradi ahata mmoja ambao umetumia kama mfano wa hoja yako
Game Theory...
Kama huyo MD wa NSSF ni muislam tumpe zake pongezi! Lakini kama ni Mkristo tomzomee kwa nguvu zetu zote!