Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 313
Benki nyingi zilidharau eneo hili kiuchumi. Huenda kwa kujipa moyo kwmba ni jirani na maeneo ya posta yalipo makao makuu ya benki nyingi. Lakini kigamboni ni sehemu unique iiyotakiwa iwe na matawi ya benki hasa kutokana na kadhia zilizopo kwenye kuvuka upande wa pili kufuata huduma za kibenki.
Nawashauri benki ya posta wajitahidi kuboresha huduma zao na hasa za ATM waone ni jinsi gani watakavyofanya biashara na watu wa kati na chini walio wengi maeneo ya kigamboni.
Nawashauri benki ya posta wajitahidi kuboresha huduma zao na hasa za ATM waone ni jinsi gani watakavyofanya biashara na watu wa kati na chini walio wengi maeneo ya kigamboni.