Hongeren wadada!

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Kuna wadada wanajituma jamani hadi raha!utafikiri anashida za kufa mtu..overtime job ikitokea ofcn yupo,mpaka sometimes namuuliza,why do u overwok urself?,anajibu thats the way Iam..ukikaa nae kusikiliza stor zake,zakawaida kabisa,unaweza sema may be ngoja nimpe vistor vya boys,may be ana workhard kumsahau mchumba ake labda kaachwa,hakuna...family yao mambo si haba wanajiweza...Hongeren wadada wa stlye hiyo..
 
Nice message, natumai wamekusoma. Ni jambo la kiungwana kutoa credit pale panapohitajika.:poa
 
ahsante,ujumbe nimeupata

Gud kama na wewe upo hivyo,am not talking about wale akifika ofcn kakaa kwenye kiti habanduki,Ukichek computer yake fb online,twitter online,hi 5 online,ana minimize kusubiria vimsg..Huku anaingiza data kwa comp.nyingine anakosea,basi vurugu tupu..kunyanyuka kwenye kiti cha ofce saa 4usku.siyo hao naowaongelea. Am talkin about active members..

Hongera zako kisukar
 
Mambo yamekuwa upside down siku hizi naona wanatupiga overtake, ukikaa kwenye foleni siku hizi gari 3 ni za wadada moja mkaka
 
Ukicheki jf idadi ya posts za mtu, join date na muda posts zimetumwa utagundua wachapatazi wa ukweli kwenye office zao, bado facebook, twitter, E-mails, hapo bado simu ya mkononi na ya office n.k kweli office sasa hivi zimeingiliwa enzi za Mwalimu hakukuwa na vurugu hizo kabisa.
 
Back
Top Bottom