Hongera Zitto

maswahiba.itakuwa alimpugia simu kabla ya kuongea.wabunge walimushambulia akiwemo juma mkaa mia ambaye mara nyingi anamsakama kwa kuwa naye anajionaga yuko sahihi tu kuliko wengine kama alivo kibonde wa clouds fm.sijui kwa kuwa naye katoka kwenye media

bt zitto ameonyesha njia so far maana ni ngumu na inahitaji roho ngumu kuwa against wabunge karibu mia mbili.anahitaji kuungwa mkono na umma maana mwisho wa siku asipata sapot atashindwa tu.nyongeza hyo ya posho wanayoitaka siwawape madocta na walimu.
 
bongo raha kweli baada ya mgomo wa madaktari kuwa juu sasa wanauua kwa posho..

siasa kweli ni dirty game..
 
Wan jf , hii zitto alijuaje kuwa rais hakuwa amepitisha ongezeko la posho za wabunge!

The exchange ensued after Mr Nkamia blamed Mr Zitto for acting as if he was the President’s spokesman by stating publicly that State House had not sanctioned the new allowances. But Mr Zitto defended himself, saying that according to regulations, if the President sanctioned any changes to MPs’ entitlements, he was supposed to do so in writing.

“But I have not received any such directive, just like Mr Nkamia or any other MP. How can I support sitting allowances that have not received explicit authorisation from the President?” queried Mr Zitto. This prompted Ms Makinda to rise and tell the meeting that the President’s office had allowed the application to up the sitting allowances.

When some MPs showed that they still doubted the Speaker’s statement, Mr Pinda stood and assured the meeting that President Kikwete had indeed assented to the new allowances but had advised Parliament to know “how it might deal with the issue.” He did not explain.

Sources said further that after the announcement by Mr Pinda a majority of MPs pounced on the few who were against the increase of allowances, notably Mr Zito Kabwe, Mr January Makamba (Bumbuli-CCM) and Dr Hamis Kigwangala (Nzega-CCM), and branded them rebels for publicly denouncing the allowances.
 
TOA UPUPU HAPA ,WEWE HUJUI ZITTO NA JK NI WAISLAMU WALIOSHIBANA

WAISLAMU HAO LAZIMA WAPENDANE KUIPINDUA CHADEMA YA WAKRISTO WA MOsHI
 
The exchange ensued after Mr Nkamia blamed Mr Zitto for acting as if he was the President's spokesman by stating publicly that State House had not sanctioned the new allowances. But Mr Zitto defended himself, saying that according to regulations, if the President sanctioned any changes to MPs' entitlements, he was supposed to do so in writing.

"But I have not received any such directive, just like Mr Nkamia or any other MP. How can I support sitting allowances that have not received explicit authorisation from the President?" queried Mr Zitto. This prompted Ms Makinda to rise and tell the meeting that the President's office had allowed the application to up the sitting allowances.

When some MPs showed that they still doubted the Speaker's statement, Mr Pinda stood and assured the meeting that President Kikwete had indeed assented to the new allowances but had advised Parliament to know "how it might deal with the issue." He did not explain.

Sources said further that after the announcement by Mr Pinda a majority of MPs pounced on the few who were against the increase of allowances, notably Mr Zito Kabwe, Mr January Makamba (Bumbuli-CCM) and Dr Hamis Kigwangala (Nzega-CCM), and branded them rebels for publicly denouncing the allowances.

Big up sana waheshimiwa
 
Ukijua kuwa Chadema ipo tayari kuchukua nchi ni hata vile tunavyoweza kuwa na taarifa za maeneo nyeti kama ikulu wakati wenyewe hawajui.Waarifu wabunge wa CCM kuwa 2015 watuachie nafasi zetu za kukaa na kujadili mambo mhm kuhusu serikali ambapo wao wanatumia kulala.Sijui wanalala wanafanya shughuli gani Usiku hawa jamaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom