Hongera wanyakyusa,wangoni,wanyasa

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
hapo juu maelezo yanaongea leo nimeamini mpira unadunda tazameni hayo makabila vizuri,Mweene,Sunzu,Kalaba,Chisamba,C.Katongo, Lungu,Sata
 
Kwani wa Zambia ni Wanakyusa? pia wa TZ?, Fanyeni nyie watz mambo kama zambia siyo kushobokea wenzenu! Zambia ya miaka ya 80 naona inarudi traatiibuuuu...
 
watz, mliposaidia kuomba uhuru WA nchi nyingi za africa kusini mliacha kila kitu huko huko, lol si unaona south, Zambia, Mozambique n.k
,
 
alipotaka maximo kuchukua vipaji chipukizi ili kuwajenga kwa manufaa ya baadae alizomewa na kukosolewa sana
kumbe mpira sio majina wala ukubwa wa mwili bali akili
 
Lokissa, hilo ndilo tatizo kubwa la Watanzania la kuzomea mahala ambapo ni faida kwa siku za mbeleni, sasa Zambia wamewaandaa hao wachezaji muda mrefu na matunda yao umeyaona yalivyo mazuri na ya kusisimua.

Tuachane na Stars ya wakubwa, tujikite ya Serengeti boyz na Twiga stars basi, hao serengeti wakiwa fit tunaweza tukaifanya timu iwe Starz kamili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom