Hongera Tanzania kwa kuweka historia duniani

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida nchi ya Tanzania sasa yapata miaka 47 tangu 1964 ikiwa inatawaliwa na marais wawili wote wakiwa ndani ya nchi moja na wakielewana na kupanga pamoja tofauti na kodivaa kwa Bagbo.

Naomba mnisamehe wana JF nina swali;

Huu ni muungano au ushikaji?
 
Teeh teeh, Muungano wakishikaji na taifa mmoja linanyonywa, but wanataka tuamini kuwa ZNZ ndio wanaonewa wakati wao wana Raisi wao, Bunge lao, Jeshi lao, wimbo wa Taifa ila ni uhaini mkubwa kuulizia ishu za Tanganyika. Utaonekana mpinga muungano na mtaka fujo
 
Wala hata sio ushikaji,ni ushikwaji kabisa!
Tunawalisha zenj,yaani ni kama kupe vile
 
Tunaweza hata kuwa nao watatu ni katiba tu ikisema hivo. Sasa hivi inasema tuko na marais wawili!
 
Teeh teeh, Muungano wakishikaji na taifa mmoja linanyonywa, but wanataka tuamini kuwa ZNZ ndio wanaonewa wakati wao wana Raisi wao, Bunge lao, Jeshi lao, wimbo wa Taifa ila ni uhaini mkubwa kuulizia ishu za Tanganyika. Utaonekana mpinga muungano na mtaka fujo
na Bendera yao.:smile-big:
 
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida nchi ya Tanzania sasa yapata miaka 47 tangu 1964 ikiwa inatawaliwa na marais wawili wote wakiwa ndani ya nchi moja na wakielewana na kupanga pamoja tofauti na kodivaa kwa Bagbo.

Naomba mnisamehe wana JF nina swali;

Huu ni muungano au ushikaji?

Ni makubaliano tu kama ya boy friend na girl friend
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom