Hongera TANAPA kwa kudhubutu

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimepokea msg toka TANAPA via my phone inasema "tumia weekend yako moja kutembelea hifadhi iliyokaribu nawe ili uburudike wewe familia na jamaa na marafiki.Kwa maelezo zaidi tembelea www.tanzaniaparks.com "

Ukizingatia aka kaweekend ni karefu si unajua jumatatu nane nane jamani tuwaunge mkono TANAPA ili wapate ela za kuendeleza nchi yetu.
Najua wapo watakao ona haina haja hasa unapokuwa hauna uhakika wa ela utakayolipa kama itachangia kweli maendeleo ya nchi unlike currently maendeleo ya mtu binafsi ndo yako mbele.

Ila big up mwanzo mzuri
 
Back
Top Bottom