princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
sa mbona babu harusi cmuoni hebu niekee ile ya wawili!!Hahahaha sante princess enny.....hapo ilikuwa siku ya harusi yangu na Vin Diesel lol
sa mbona babu harusi cmuoni hebu niekee ile ya wawili!!Hahahaha sante princess enny.....hapo ilikuwa siku ya harusi yangu na Vin Diesel lol
sa mbona babu harusi cmuoni hebu niekee ile ya wawili!!
ok!! acha mi nimngoje!!!!!! Mamndenyi umeona alivyokuwa mtamu kama jna lake!!!!?Ngoja anakuja sasahivi.....yuko anaoga
Kaah Kongosho! nini cha kukustua zaidi ya hiyo avatar jamani?
Kagauni kazuri kama ka send-off! Mzima lakini wewe?
ok!! acha mi nimngoje!!!!!! Mamndenyi umeona alivyokuwa mtamu kama jna lake!!!!?
Yaani kuna watu bila kutaja wake za watu hawajisikii raha....pongezi apewe mume wake kwa kumvalisha akapendeza...mweeee...
unanchekesha,hasbend gani macho mia mia hata kwa wazazi hajaonekana.Hehehehe.....ndio mana nakupenda husband.......mwambie asione vyaelea bana!
yaani bishanga ndo kakushauti uvae hicho kinguo? dah!