hongera sikinde kwa kumiliki basi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
sikinde.jpg

mia
 
Hii mwaka gani mzee wa mia?

mkuu pitia thread ya;
[TUJIKUMBUSHE; bendi zetu za zamani (miaka ya 80 na 90), mitindo yao na wanamuziki wake.)]. bila shaka utapata majibu ya kutosha. Mia
 
Nilitaka kushangaa sikinde iliyojifia ile inaweza kununua bus kweli?mambo yote msondo ngoma mambo hadharani.....wanatuogopa ile mbaya,baba ya muziki magoma kita kita!
 
Ujana ni moshi...............Sikinde chama la uhakika. Naamini hakuna Bendi itakayokuja kutokea TZ zaidi ya Sikinde. Vibao kama Kiu ya JIbu, Neema, Ramadhan (Uke wenza). Solo la Michael Bilal nadhani halitapigwa tena duniani labda huko mbinguni wakati wa kumsifu Mungu
 
Duh, hilo jengo si ni Starlight hotel? yaani basi limesimama kwenye eneo ambalo sasa ndipo ilipo Peacock hotel.
Long time, enzi za Leyland CD abiria 65.
 
Nilitaka kushangaa sikinde iliyojifia ile inaweza kununua bus kweli?mambo yote msondo ngoma mambo hadharani.....wanatuogopa ile mbaya,baba ya muziki magoma kita kita!

Wewe Msondo enzi hizo isingefua dafu kwa Sikinde wakati ikiitwa timu ya taifa. Lineup, Gurumo, Bitchuka, Dede, Kinyasi, Mulenga, Mwanyiro, Chidumule, Bilal, Bushoke, Balthazar na Mike Enoch? Wee acha kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom