Hongera raisi wa chama cha madaktari

we kweli mpuuzi, yani hoja alete mwingine, ambao tulikosa hicho kipindi tuje tu-edit, kamwe dk si politician ingawa faustine na hamis are politicians usidhalilishe drs wote ukidhani hawawezi kujenga hoja au kuanzisha thread...si kosa lako, ni simulations zilizokulostishaaisee............
kama ukuielewa hoja ungeomba ufafanuzi na sio kuleta dharau kwa mtoa hoja.hao uliwataja sio practising doctors ni wanasiasa!hoja nyingi huletwa zikiwa hazijakamilika na baadae kupitia wachangiaji hoja hizi huwekewa details,wewe sio mgeni hapa ndio maana unaitwa mnafiki.ulivyocomment utadhani unajua kinachoendelea kumbe wapi.ungekuwa na busara ungebakia kuwa msomaji mpaka utakapoielewa usirukie treni kwa mbele mkuu.
 
Back
Top Bottom