Hongera raisi wa chama cha madaktari

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Waandishi mara nyingi wamekua ving'ang'anizi na maswali uchwara kwa lengo la kusimamia upande fulani wenye maslahi na serikari.
Kimsingi bunge ni kwa ajili ya kutatua matatizo makuu ya wananchi, si kujadili muda na taratibu za kazi.
Kimsingi mambo yasiyo na takwimu hayapaswi kuongelewa na viongozi wakuu wa nchi kama mawaziri ,wabunge hata madiwani.
Kila mtu awajibike kulingana na kazi na majukumu yake.
Waandishi wawe na takwimu badala ya kupotosha watu.
 
thread haijaeleweka... nashindwa kuunganisha rais wa madaktari, waandishi uchwara na takwimu,,,,,,,,,,,,,, au ndio hangover?

ONYO, KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO!!!
 
MTM uandishi wa habari ni kazi sana! Jamaa anazungumzia kauli ya waziri wa afya kwamba waache tabia yao ya kuacha vituo vyao vya kazi saa za kazi na kwenda private! So wanaomba takwimu ni asilimia ngapi wenye tabia hiyo!
 
Madaktari hawa walikuwa humble.inasikitisha sana toka waziri aingie madarakani hajakaa na viongozi wa chama cha madaktari sijui anasubiri wagome ndio akutane nao?nakubaliana na hawa jamaa kuwa kazi ya kumfuatilia daktari anayetoroka ni ya mkuu wa idara au mkurugenzi,sasa inashangaza waziri anakosa cha kuzungumzia bungeni na anabaki kuropoka bila takwimu.ina maana wakuu wa idara hawafai na hawafanyi kazi yao.basi waziri angeanza kuwawajibisha hawa kwanza kabla ya kuongea kama 'gendaheka'shame on you.
 
thread haijaeleweka... nashindwa kuunganisha rais wa madaktari, waandishi uchwara na takwimu,,,,,,,,,,,,,, au ndio hangover?ONYO, KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO!!!
ukishindwa kuelewa kaa kimya!
 
ukishindwa kuelewa kaa kimya!
siwezi kukaa kimya JF ni international na sio kila mtu atakua na mawazo uliyonayo wewe.... tatizo ni namna ya kufikisha ujumbe

kama unataka kueleweka toa background ya kutosha

we hujioni kwamba mmejipanga wachache wa MAT hapo halafu mnashindwa hata kupanga hoja?? hivi kweli quality ya post #1 inaendana na sifa ya udaktari?? ni kweli hoja inajengwa hivyo??

nasema hivi kwasbabau mimi ni mdau

Makene naye kujibu angeanza na takwimu basi
 
MTM uandishi wa habari ni kazi sana! Jamaa anazungumzia kauli ya waziri wa afya kwamba waache tabia yao ya kuacha vituo vyao vya kazi saa za kazi na kwenda private! So wanaomba takwimu ni asilimia ngapi wenye tabia hiyo!
cha maana ni kumuuliza waziri, yeye anakumbuka pat yake hadi kufika hapo??

Pili tujiulize muda wa kazi kwa dakrati ni upi?? saa mbili hadi kumi au 24 hours?? na kama ni 24 hours then inakuaje kuna saa za kazi according to him??

vipi tukihoji emergencies etc??

what about time management?? Dr. wanatakiwa (na walazimishe) flexi time management kwa kazi zao

rekebisheni post number 1
 
MTM uandishi wa habari ni kazi sana! Jamaa anazungumzia kauli ya waziri wa afya kwamba waache tabia yao ya kuacha vituo vyao vya kazi saa za kazi na kwenda private! So wanaomba takwimu ni asilimia ngapi wenye tabia hiyo!

yaani some things aisee... wanaomba takwimu, which means kuna allowable percentage............. can you imagine??
 
siwezi kukaa kimya JF ni international na sio kila mtu atakua na mawazo uliyonayo wewe.... tatizo ni namna ya kufikisha ujumbekama unataka kueleweka toa background ya kutoshawe hujioni kwamba mmejipanga wachache wa MAT hapo halafu mnashindwa hata kupanga hoja?? hivi kweli quality ya post #1 inaendana na sifa ya udaktari?? ni kweli hoja inajengwa hivyo??nasema hivi kwasbabau mimi ni mdauMakene naye kujibu angeanza na takwimu basi
kama wewe ni mdau ungeweza kupost edited version ya hoja inayozungumziwa.doctors are not politicians,yawezekana hoja haijawasilishwa kama ulivyotaka but ujumbe muhimu umefika na haikuzuii wewe kutoa maoni yako mbadala!
 
thread haijaeleweka... nashindwa kuunganisha rais wa madaktari, waandishi uchwara na takwimu,,,,,,,,,,,,,, au ndio hangover?ONYO, KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO!!!
viongozi wa chama cha madaktari(MAT) walikuwepo TBC-1 wakihojiwa na marin hassan(muandishi uchwara)kati ya mambo ya msingi waliyosema ni pamoja na waziri kukosa takwimu kuhusu ni madaktari wangapi wanaotoroka kazini na kwenda kwenye private sector.Kama kawaida mtangazaji marin hassan alionekana kuwa upande wa serikali.MTM huwa unaamka saa ngapi?unapitwa na vitu vingi!
 
ni wapi uliona daktari anafanya kazi 24/7?acha unafiki!

Nimeacha unafiki, sasa na wewe acha basi unafiki na upumbavu.... daktari anaweza akawa nyumbani na akapigiwa simu anahitajika na akatekeleza wito, kuna residency, first on call second etc na wanafanya hivyo kwenye baadhi ya specialised clinics

Tatizo ni pale unapotaka daktari afanye kazi kama karani, hilo haliwezekani

they can manage their time
 
viongozi wa chama cha madaktari(MAT) walikuwepo TBC-1 wakihojiwa na marin hassan(muandishi uchwara)kati ya mambo ya msingi waliyosema ni pamoja na waziri kukosa takwimu kuhusu ni madaktari wangapi wanaotoroka kazini na kwenda kwenye private sector.Kama kawaida mtangazaji marin hassan alionekana kuwa upande wa serikali.MTM huwa unaamka saa ngapi?unapitwa na vitu vingi!
naishi salasala, saa kumi na mbili na nusu nipo barabarani na gari yangu haina TBC wala ITV

ndio maana nikasema JF ni international, sio kila mtu anaishi dar na sio kila mtu ana umeme that time, with a little bit of background thread ingekua nzuri
 
kama wewe ni mdau ungeweza kupost edited version ya hoja inayozungumziwa.doctors are not politicians,yawezekana hoja haijawasilishwa kama ulivyotaka but ujumbe muhimu umefika na haikuzuii wewe kutoa maoni yako mbadala!
we kweli mpuuzi, yani hoja alete mwingine, ambao tulikosa hicho kipindi tuje tu-edit, kamwe dk si politician ingawa faustine na hamis are politicians

usidhalilishe drs wote ukidhani hawawezi kujenga hoja au kuanzisha thread...

si kosa lako, ni simulations zilizokulostisha

aisee............
 
thread haijaeleweka... nashindwa kuunganisha rais wa madaktari, waandishi uchwara na takwimu,,,,,,,,,,,,,, au ndio hangover?ONYO, KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO!!!
maumivu yakizidi muone daktari
 
thread haijaeleweka... nashindwa kuunganisha rais wa madaktari, waandishi uchwara na takwimu,,,,,,,,,,,,,, au ndio hangover?

ONYO, KUNYWA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO!!!

Great thinkers are expected to have high intelligency capability, so easy and able to grasp on topics posted.

The topic aims to show how able were the Doctors' representative to keep at bay the TBC man trying to probe over a 'dead' issue started or rather presented in parliament by a minister of Health.
We need to be informed of the real situation rather than some sort of fan oriented presentation or conversation aimed by broadcasters in favor of the government and leaders.
So in this topic the one who deserve praise is not the broadcaster, he is in a way a looser in a trend used by their radio in propaganda in favor of the incumbent government.
 
Back
Top Bottom