Hongera Rais kwa maamuzi ya busara

Mussa Mzigama

New Member
Jul 2, 2012
2
0
Rais Kikwete hongera kwa uamuzi mzuri wa kusema kwel coz madaktari wanachotaka hakiwezekan,jamani hebu fikiria kama mshahara wa daktari anayeanza kazi uwe 7.5 mil sasa mshahara daktari aliyeko kazin miaka kumi utakuwa ni kias gan,we've to think twice jaman,ingawa kwel mazingira ya kaz ni mabovu but hebu tuangalie sekta nyingine nawo si watahitaji kupandishiwa mshahara so nazani bajet yetu ya mwaka 2013/2014 ita kuwa ni kwa ajiri ya kuripa mishahara huku maendeo ya nchi yakitengewa 0.1 ya bajeti nzima,jamanii inabidi tufunge na kuliombea taifa letu ili yasije yakatoke yaliotokea Misri.Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki TANZANIA.
 
Kabisaaa...ulikuwa na hamu ya kujiunga na JF kwa ili uposti hiki?! Haya tumekusikia...karibu JF. Usihofu, utajengeka tu kihoja baada ya muda mfupi! Ngoja MMK aje kuchambua pumba zako hapa...you will learn!
 
Kaka nahisi hajasikiliza speech ya presdent so u'better listen fist ndo utaelewa nn nazungumza.
 
Mtoa siredi anashangaa itakuwaje daktari anayeanza kazi kulipwa 7.5m/- kwa mwezi. Wakati huo huo anashindwa kushangaa kwa nini mbunge anayeteuliwa leo (viti maalum) alipwe 10.0m/- kwa mwezi, regardless ya elimu yake na wakati mwingine kutokana na uhawara tu.
 
Mshahara wa 3.5 unawezekana, kima cha chini cha 1.8 kinawezekana, na mazingira bora ya kazi yanawezekana, bajeti si issue, Kama haitoshi si iongezwe figure? iWeb tirlioni 14. Issue hapa ni kurudisha pesa, kukusanya kodi, kuacha wizi na ufisadi, tutumikie wananchi, sio kuwapumbaza watoa maamuzi ili waendelee kufisadi nchi na huduma kudorora! Hotuba ya JK Kama zilivyo nyingine, haina mashiko na hakuna hata moja ilowahi kusaidia utendaji wa serikali, ni mayowe tuuuuu!
 
Rais Kikwete hongera kwa uamuzi mzuri wa kusema kwel coz madaktari wanachotaka hakiwezekan,jamani hebu fikiria kama mshahara wa daktari anayeanza kazi uwe 7.5 mil sasa mshahara daktari aliyeko kazin miaka kumi utakuwa ni kias gan,we've to think twice jaman,ingawa kwel mazingira ya kaz ni mabovu but hebu tuangalie sekta nyingine nawo si watahitaji kupandishiwa mshahara so nazani bajet yetu ya mwaka 2013/2014 ita kuwa ni kwa ajiri ya kuripa mishahara huku maendeo ya nchi yakitengewa 0.1 ya bajeti nzima,jamanii inabidi tufunge na kuliombea taifa letu ili yasije yakatoke yaliotokea Misri.Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki TANZANIA.

ubaya wa yaliyotokea Misri ni upi?
 
mbona bunge wamepitisha posho zao au wao inawezekana umimi ni mbaya sana na ndio unadumaza watz wengi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom